digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,926 Reaction score 17,880 Jun 18, 2024 #21 dudus said: Waokolewe kwa lipi wakati wapo mazoezini? Click to expand... Kazi nzuri
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Jun 18, 2024 #22 digba sowey said: Kazi nzuri Click to expand... Marvelous!
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Jun 18, 2024 #23 Huko ni wapi? Nilisema bibi aondoke na helicopter kwenda kwamandela
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Jun 18, 2024 #24 peno hasegawa said: Huko ni wapi? Nilisema bibi aondoke na helicopter kwenda kwamandela Click to expand... Ili asirudi kama alivyoenda?
peno hasegawa said: Huko ni wapi? Nilisema bibi aondoke na helicopter kwenda kwamandela Click to expand... Ili asirudi kama alivyoenda?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Jun 18, 2024 #25 Lord Delamere in Kenya said: Watu wanaongea coded language tu. Ni ubaguzi wa wazi kwa sisi tuliopata D mbili pekee. Click to expand... Hao ni warusi mkuu!!
Lord Delamere in Kenya said: Watu wanaongea coded language tu. Ni ubaguzi wa wazi kwa sisi tuliopata D mbili pekee. Click to expand... Hao ni warusi mkuu!!
uchumi2018 JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 1,657 Reaction score 2,406 Jun 18, 2024 #26 Meneja Wa Makampuni said: Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore. View attachment 3020078 Click to expand... Meneja Wa Makampuni said: Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore. View attachment 3020078 Click to expand... Hawa walikuwa kwenye mazoezi offshore,sema zoezi limeenda vibaya,wakapata ajali ya ndege kubinuka.
Meneja Wa Makampuni said: Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore. View attachment 3020078 Click to expand... Meneja Wa Makampuni said: Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore. View attachment 3020078 Click to expand... Hawa walikuwa kwenye mazoezi offshore,sema zoezi limeenda vibaya,wakapata ajali ya ndege kubinuka.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jun 19, 2024 #27 antimatter said: Dogo, Gairo kuna bahari? Click to expand... Kwani Gairo si ndiyo ile waarabu wanaiita Cairo kwa kina Shabbiby!
antimatter said: Dogo, Gairo kuna bahari? Click to expand... Kwani Gairo si ndiyo ile waarabu wanaiita Cairo kwa kina Shabbiby!