PointKwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia pia kuitangaza kahawa kwa kuhudumia kahawa kwa kiwango cha kimataifa na siyo kahawa ya rangi.
Waafrika hawawezi kujisimamia hata ufanyeje nadhani hili la uwekezaji na mikopo Ni Aina mpya ya kurudi kukutawala. Yaani waafrika cheki wakipewa madaraka kazi Ni kuiba tu na kufanya anasa ikiwemo ngono. Yaani starehe kama ya ngono na ego zinawatala blacks. Tutabinafsisha mpaka tutajikuta hatuna kitu. Na madini tunayotoa kwao unategemea Nini. Baada ya 600yrs unadhani afrika itakuwaje. Tuandae kizazi chetu Kuja kuwa vibarua vya wazungu yaani hapa no way out. Na wachina wameshajaa afrika. Kuna kampuni ya ulinzi ya China Tanzania unategemea nini.yaanu sie kubweteka fastaKwa wasafiri wa ndege zetu za ATC, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia pia kuitangaza kahawa kwa kuhudumia kahawa kwa kiwango cha kimataifa na siyo kahawa ya rangi.
ATC ni wajinga sana,wanatoa beer moja ukimaliza ukiuliza ya pili wanakimbia kujificha huko nyuma mimi sipandi ndege njaa.Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATC, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia pia kuitangaza kahawa kwa kuhudumia kahawa kwa kiwango cha kimataifa na siyo kahawa ya rangi.
MMh nafikiri maziwa yaliisha mkuu.Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATC, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia pia kuitangaza kahawa kwa kuhudumia kahawa kwa kiwango cha kimataifa na siyo kahawa ya rangi.
Ni uzembe inakuwaje viishe wakati wanajua idadi ya abiria kabla ya ndege kuondoka?MMh nafikiri maziwa yaliisha mkuu.
Kuna wakati wana huma nzuri...wine, maziwa na korosho😅
Kahawa ya kijiwe cha mchikichini inatosha. Unapanda ndege bei kubwa alafu una-mind kahawa ya shilingi 20 kikombe!Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATC, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia pia kuitangaza kahawa kwa kuhudumia kahawa kwa kiwango cha kimataifa na siyo kahawa ya rangi.
Kwani hujaona wahudumu wenye yunifomu chakavu mkuu?Ni uzembe inakuwaje viishe wakati wanajua idadi ya abiria kabla ya ndege kuondoka?
Au wahudumu wametumia hayo maziwa nk??
Excuse nyingine ni za kingese sana.
Ah jamani sasa wanafunzi wakajifunze wapi kama sio kwenye hizo flights? Wee watka zaidi ya bia moja alafu uanze ukorofiATC ni wajinga sana,wanatoa beer moja ukimaliza ukiuliza ya pili wanakimbia kujificha huko nyuma mimi sipandi ndege njaa.
Siku moja natoka KIA kwenda DAR na hizi pangaboi yaani masikio yanauma utafikiri umepigwa ngumi halafu sijui rubani alikuwa mwanafunzi yaani ndege ilisota wakati wa kutua abiria jasho lilitutoka.
Nadhani ulikusudia usd 2,000.ET wanatoza Usd 1,500.ATC wanatoza gharama kubwa kutoka Dsm kwenda Guangzhou, Wakati Emirates inatoza chini kwa dollar 200
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wapuuzi sana, hata maji ukiomba mpaka uletewe utasanda.. Hopeless sanaATC ni wajinga sana,wanatoa beer moja ukimaliza ukiuliza ya pili wanakimbia kujificha huko nyuma mimi sipandi ndege njaa.
Siku moja natoka KIA kwenda DAR na hizi pangaboi yaani masikio yanauma utafikiri umepigwa ngumi halafu sijui rubani alikuwa mwanafunzi yaani ndege ilisota wakati wa kutua abiria jasho lilitutoka.
swala si ku-mind. Hizi huduma kwenye ndege ni muhimu sana kwa msafiri. Mimi kwa kuwa ni mywaji mzuri wa kahawa. Ninatarajia, basi kahawa pia iandaliwe kwa ubora wake. siyo maji ya kahawa.Kahawa ya kijiwe cha mchikichini inatosha. Unapanda ndege bei kubwa alafu una-mind kahawa ya shilingi 20 kikombe!
Naandika nafutaswala si ku-mind. Hizi huduma kwenye ndege ni muhimu sana kwa msafiri. Mimi kwa kuwa ni mywaji mzuri wa kahawa. Ninatarajia, basi kahawa pia iandaliwe kwa ubora wake. siyo maji ya kahawa.
Hapana, ATC hivi sasa ukiacha matatizo madogo kama hili ninaliloliona, inajipambanua kama mtoa huduma mzuri nchini na pia ukanda wetu. Inabeba abiria wa aina mbalimbali. So please, tuongozwe na wataalamu. ATC iajiri mtaalamu wa kutengeneza kahawa. kahawa inautaratibu wake wakuandaliwa, si bora tu. au la waache. mara nyingi nikipewa hutamani kuimwaga.MMh nafikiri maziwa yaliisha mkuu.
Kuna wakati wana huma nzuri...wine, maziwa na korosho😅