Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

Uliwahi panda precision air? Huduma zao zinatofauti gani?
Nimepanda sana. But ni muda sasa tangu ATCL iwe vizuri.
Lakini siwezi kuisemea sana precision kwa sababu ni kampuni ya mtu binafsi. ATC ni mali yetu, kwa hiyo tunawajibu wa kuisaidia.
 
Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATC, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia pia kuitangaza kahawa kwa kuhudumia kahawa kwa kiwango cha kimataifa na siyo kahawa ya rangi.
Na korosho je,hakuna bites nyingine hata pipi hawana
 
ATC ni wajinga sana,wanatoa beer moja ukimaliza ukiuliza ya pili wanakimbia kujificha huko nyuma mimi sipandi ndege njaa.

Siku moja natoka KIA kwenda DAR na hizi pangaboi yaani masikio yanauma utafikiri umepigwa ngumi halafu sijui rubani alikuwa mwanafunzi yaani ndege ilisota wakati wa kutua abiria jasho lilitutoka.
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom