Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
==
www.jamiiforums.com
==
Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete
Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke. Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu...