Nimekuelewa.Hiyo exchange ya wanyama inafanyika kwa nchi zenye mbuga tayari kama Kenya, South Africa, Botswana.......huwezi kusema unapeleka wanyama kwenye sanctuary uarabuni wakati wao wanatengeneza mbuga za kitalii ili wapige pesa, hapo unakuwa unajipiga mwenyewe risasi mguuni.