DOKEZO Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi issue za Lolindo, Serengeti kwa nini huwa zinaibuka sana wakati rais akitoea Zanzibar? Hata wale wapakistan walosafirisha wanyama ilikuwa kipindi cha JK. Sema JK siyo wa Znz ila ni mwenzetu.

By the way kwa nini hizi mambo wasifanye kwa ndugu zao wa znz au hata pwani?

johnthebaptist
Waarabu wa Loliondo wapo toka Rais ni Mwinyi ..kama wangekuwa wanavunja sheria Mkapa alipoingia madarakani mbona hakuwatimua?
Why Magufuli nae hakuvunja mikataba na hawa sasa?..
Majungu ndo meengi kuliko uhalisia .....
 
Tunarudi kulekule kwenye siasa za majitaka. Kuchafua serikali au viongozi wa serikali bila ushahidi wowote afu 2025 wakikatwa kutokana na kashfa hizo wanakuja kusafishwa kwa kupewa nafasi ya kugombea uraisi au ubunge na walewale waliowachafua.

Muongeaji ndani ya video ukisikiliza vizuri utagundua kwamba ni mmoja kati ya wale wamasai wa Kenya waliokuwa wanatumia ardhi yetu kama shamba lao la bibi la kulishia mifugo yao, kuuwa tembo wetu na kujivinjari.
 
Team tetea
Sio team tetea...team logic..
Ndege za wazungu mbugani hamlalamiki...
Ndege za wachina mbugani hamlalamiki huku inajulikana wachina ndo walanguzi wakubwa wa meno ya tembo duniani....
Nyinyi mko bize na ndege za waarabu Tu ...hata kama ni hisia tu kuwa wanakuja kubeba wanyama...ushahidi hakuna lakini mnashupaza mashingo ...na mapovu yanawatoka.....

Hiyo narration kuwa Samia anawapendelea waarabu ni ya kipumbavu sana ...kama waarabu hawafai mngemwambia Magufuli awatimue au Mkapa awatimue ..
Samia kawakuta hao wawekezaji WA kiarabu wapo kisheria ..
Na Samia akimaliza mda wake akija Rais mwingine mkristo hata midege itue 100 huko mbugani mtanyamaza kimyaa Kwa unafiki wenu
 
You are on mission man, more power to you.
 
Waarabu wa Loliondo wapo toka Rais ni Mwingi ..kama wangekuwa wanavunja sheria Mkapa alipoingia madarakani mbona hakuwatimua?
Why Magufuli nae hakuvunja mikataba na hawa sasa?..
Majungu ndo meengi kuliko uhalisia .....
Mkuu kwani kwa kuwa waliofuata hawakuvunja mkataba inamaanisha mkataba ni halali?
Kama wote wanapewa bahasha kubwa na nzito!
Kumbuka wote ni ccm na ccm huwezi kuwaamini sana.
 
Sio team tetea...team logic..
Ndege za wazungu mbugani hamlalamiki...
Ndege za wachina mbugani hamlalamiki huku inajulikana wachina ndo walanguzi wakubwa wa meno ya tembo duniani....
Nyinyi mko bize na ndege za waarabu Tu ...hata kama ni hisia tu kuwa wanakuja kubeba wanyama...ushahidi hakuna lakini mnashupaza mashingo ...na mapovu yanawatoka.....

Hiyo narration kuwa Samia anawapendelea waarabu ni ya kipumbavu sana ...kama waarabu hawafai mngemwambia Magufuli awatimue au Mkapa awatimue ..
Samia kawakuta hao wawekezaji WA kiarabu wapo kisheria ..
Na Samia akimaliza mda wake akija Rais mwingine mkristo hata midege itue 100 huko mbugani mtanyamaza kimyaa Kwa unafiki wenu
Lakini Samia kawatimua wamasai pale Loliondo
Lazima watu wawe namashaka sababu tendo lile linazua mashaka.
 
Mkuu kwani kwa kuwa waliofuata hawakuvunja mkataba inamaanisha mkataba ni halali?
Kama wote wanapewa bahasha kubwa na nzito!
Kumbuka wote ni ccm na ccm huwezi kuwaamini sana.

Mkuu kwani kwa kuwa waliofuata hawakuvunja mkataba inamaanisha mkataba ni halali?
Kama wote wanapewa bahasha kubwa na nzito!
Kumbuka wote ni ccm na ccm huwezi kuwaamini sana.
Kama unasema rushwa ni tatizo na inawezekana rushwa ndo inaleta tatizo lolote siwezi kukupinga since rushwa hutolewa Kwa Siri...

Mimi nnachopinga mtu kusema utawala huu wa Samia "umewaachia waarabu wafanye wanachotaka Kwa sababu labda Kwa kuwa Samia ni muislam"..wakati hawa waarabu wawekezaji wakikuwepo wakati wa Magufuli na kulikuwa hakuna makelele yeyote licha ya ndege zao kuendelea kutua huko Mbugani..

Kama kulikuwa na shida Magufuli alishindwa nini kuwatimua?..
Nnachopinga ni narrative kuwa kuwa a Muslim President kawaacha waarabu wafanye wanachotaka...
Kama narrative ni CCM wako corrupt..hii nayo si mpaka ithibitishwe..
Ka video kama haka kweli kanathibitisha nini?
 
Acheni kupandikiza uongo na kuichonganisha serikali yetu kwa Ajenda zenu za Siri, Sasa hapo hiyo ndege IPO wapi? Wanyama wanao bebwa wapo wapi? Ni ndege aina gani? Kutoka nchi gani? Kwa utambulisho wa kutoka shirika gani la ndege? Wanyama wapo wapi hapo? Mbona hatuonyeshwi hao wanyama? Mbona hatuonyeshwi wakipandishwa kwenye ndege? Mbona hatuonyeshwi ndege ikitua na kupaa?

Huu uongo unawasaidia Nini? Mnalengo gani na serikali yetu? Mnapata faida gani kuichafua serikali yetu? Mnamlenga Nani kumchafua? Kwa masilahi ya Nani? Nani anawdfadhiri huu upotoshaji?

Iacheni serikali yetu ifanye kazi za kututumikia watanzania ,hizi propaganda za kitoto hazitawafikisha popote pale na hamtaweza kuichonganisha serikali yetu na sisi wananchi

Pori tengefu ni kama misitu ya jeshi inayotuzunguka nchi nzima, public access is off limits. Huwezi kupata close-up HD video ya ndege inashuka na kupandisha wanyama. Cameraman alifanya alichoweza katika mazingira yaliyomkabili.

"Iacheni serikali yetu itutumikie" ni mentality za Mtanzania wa pre-1990. Muda umekuacha nyuma.

Enzi hizi wananchi wanachagizwa kujihusisha na majadiliano huru ya mambo yanayowahusu kama sehemu ya mchakato wa demokrasia.

Binafsi siamini watawala kutoka visiwani wana uchungu na Tanganyika.
 
Kama unasema rushwa ni tatizo na inawezekana rushwa ndo inaleta tatizo lolote siwezi kukupinga since rushwa hutolewa Kwa Siri...

Mimi nnachopinga mtu kusema utawala huu wa Samia "umewaachia waarabu wafanye wanachotaka Kwa sababu labda Kwa kuwa Samia ni muislam"..wakati hawa waarabu wawekezaji wakikuwepo wakati wa Magufuli na kulikuwa hakuna makelele yeyote licha ya ndege zao kuendelea kutua huko Mbugani..

Kama kulikuwa na shida Magufuli alishindwa nini kuwatimua?..
Nnachopinga ni narrative kuwa kuwa a Muslim President kawaacha waarabu wafanye wanachotaka...
Kama narrative ni CCM wako corrupt..hii nayo si mpaka ithibitishwe..
Ka video kama haka kweli kanathibitisha nini?
Nimekuelewa
Tupe tathmini yako kuhusu wamasai kuondolewa kimabavu kutoka Loliondo awamu hii.
 
Huwezi kupata High Definition video ya ndege inashuka na kupandisha wanyama, pori tengefu ni kama misitu ya jeshi iliyotuzunguka nchi nzima, public access is off limit. Cameraman alifanya anachoweza katika mazingira yaliyomkabili.

"Iacheni serikali yetu itutumikie" ni mentality za Mtanzania wa pre-1990.. Muda umekuacha nyuma.

Enzi hizi wananchi wanachagizwa kujihusisha na majadiliano huru ya mambo yanayowahusu kama sehemu ya mchakato wa kidemokrasia.

Binafsi siamini kama watawala wa sasa wana uchungu na Tanganyika.
Jibu maswali yangu kwa kuweka ushahidi hapa ili tumalize ubishi
 
Nimekuelewa
Tupe tathmini yako kuhusu wamasai kuondolewa kimabavu kutoka Loliondo awamu hii.

Mimi nimeiamini serikali kuwa wamasai wanafanya uharibifu wa mazingira...Hadi hapo kutakapo jitokeza habari zingine za uhakika ndo ntawahukumu tofauti..sitaki kuihukumu serikali Kwa kuhisi au kusikia habari ambazo hazina ukweli
 
Back
Top Bottom