Ndege za Iran aina ya F-14 zalipuliwa, hamna kinachosazwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa....

The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening.

The military also said the IDF was striking military infrastructure across central Iran, in addition to strikes on southwestern Iran earlier on Saturday.

This is a developing story.
 
Hizo midege kuzilipua ni wamewaste tu energy kwani hazina impact yeyote kama mbili zilikuwepo parking miaka mingi
Hazina spare parts.

News za wairan zinasema israel amelipua warship zilizokuwa zimepark bandarini, na israel wanasema wamegundua storage ya drones an missiles halo bandarini so wanachakaza tu tokea masaa machache yaliyopita
 
You will realize at end who is winning
 
Attachments

  • VID_20250621_233327_789.mp4
    6.7 MB
Good night people
 
Attachments

  • output_logo_and_reduced_size_20250622010943.mp4
    736.2 KB
Hizo ndege kwanza hazina priority katika defense doctrine ya Iran, ni ndege za kale sana toka enzi za Shah.

Ila vimondo vya Iran bado vinashuka Tel-Aviv
 
Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa....

The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening.

The military also said the IDF was striking military infrastructure across central Iran, in addition to strikes on southwestern Iran earlier on Saturday.

This is a developing story.

..Iran ilishapigana vita na Iraq iliyokuwa ikisaidiwa na Marekani kwa miaka 8. Sasa sijui ni kwanini Israel wameamua kuanzisha vita nao. Naona kama Israel hawezi kupigana vita vya muda mrefu na Iran. Kwa upande mwingine nimeshangaa jinsi ambavyo anga la Iran limevamiwa kirahisi kama ilivyotokea. Uwezo wa Iran kurusha makombora mengi kwa wakati mmoja ni tishio kwa Israel. Vita hii ikiendelea kwa muda mrefu upo uwezekano wa Israel kuchakazwa kutokana na wingi wa makombora aliyonayo Iran.
 
Una usingizi?
 
Umesha sema anga lake limevamiwa kirahisi alafu tena unasema lsrael itachakazwa una akili kweli wewe? Au unaropoka tu na wewe uonekane umechangia mada?
 
..Iran wameonyesha uwezo wa kurusha makombora kwa Israel.

..Na Israel ni nchi ndogo sana sasa tujiulize inaweza kustahimili makombora mengi kiasi gani?

..Ni kweli anga la Iran limevamiwa kwa namna ambayo sikutarajia. Lakini Iran ni nchi kubwa, na ina watu wengi.

..Kupiga makombora 100 Iran kuna madhara kidogo kuliko kupiga makombora 100 Israel.

..Hicho ndicho nilichokiona mimi. Sijui wewe umeona nini.
 
Hakuna unachokijua wewe nenda kalale tu mada kubwa kwako hii
 
Hizo ndege kwanza hazina priority katika defense doctrine ya Iran, ni ndege za kale sana toka enzi za Shah.

Ila vimondo vya Iran bado vinashuka Tel-Aviv

Hamna kinachosazwa, rubani wamepiga hadi wamekosa Cha kupiga tena.
 
..Iran ilishapigana vita na Iraq iliyokuwa ikisaidiwa na Marekani kwa miaka 8. Sasa sijui ni kwanini Israel wameamua kuanzisha vita nao. Naona kama Israel hawezi kupigana vita vya muda mrefu na Iran. Kwa upande mwingine nimeshangaa jinsi ambavyo anga la Iran limevamiwa kirahisi kama ilivyotokea. Uwezo wa Iran kurusha makombora mengi kwa wakati mmoja ni tishio kwa Israel. Vita hii ikiendelea kwa muda mrefu upo uwezekano wa Israel kuchakazwa kutokana na wingi wa makombora aliyonayo Iran.

Vita vya enzi hizo sio kama za leo modernized, ndani ya wiki mbili Israel imechakaza makambi ya kijeshi ya Iran kitu ambacho kingechukua hata mwaka kukifanya kama wangetumia mbinu za kizamani.
 
Anga la Iran imekuwa sebule ya Israel 🤣🤣🤣🤣
 
Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa....

The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening.

The military also said the IDF was striking military infrastructure across central Iran, in addition to strikes on southwestern Iran earlier on Saturday.

This is a developing story.
Hivi ni kweli Iran hakuna siku iliyofanikiwa katika mashambulizi yake vs Israel?
 
..Iran wameonyesha uwezo wa kurusha makombora kwa Israel.

..Na Israel ni nchi ndogo sana sasa tujiulize inaweza kustahimili makombora mengi kiasi gani?

..Ni kweli anga la Iran limevamiwa kwa namna ambayo sikutarajia. Lakini Iran ni nchi kubwa, na ina watu wengi.

..Kupiga makombora 100 Iran kuna madhara kidogo kuliko kupiga makombora 100 Israel.

..Hicho ndicho nilichokiona mimi. Sijui wewe umeona nini.

Hutakiwi kuanfika unachoona wewe kwa sababu sisi sote tulioko huku hatuna uwezo wa kuona bali tumaweza kufuatilia.

Unatakiwa kujiuliza:

1. Mpaka sasa ni madhara kiasi gani imrpata Iran compared to Israel?

2. Nini ratio ya idadi ya makombora yanayorushwa na Iran kati ya yanayorushwa na yale yanayopenya anga la Israel vs yanayofikia targets zilizokusudiwa?

3. Stock ya makombora ya Iran ni kiasi gani, yamerushwa mangapi, mangapi yameteketezwa kwenye mghala? Na ufahamu viwanda vya kuyatengeneza vimeangamizwa.

Kwa baraka ufahamu kuwa makombora yanayorushwa na Iran, yanayopenya na kufika kwenye ardhi ya Israel, hayafiki hayafiki hata 5%. Na hayo yaliyofika, ni moja lililopiga target iliyokusudiwa. Mengi yametua maeneo ya wazi, maeneo ya makazi ya raia, na kwenye facilities za kirai. Wakati adui yake kila siku anapiga targets za kineshi ili kupunguza uwezo wa Iran khishambulia.

Jambo kubwa zaidi unalotakiwa kufahamu ni kuwa uchumi wa Iran upo hoi bin taaban, tofauti na uchumi wa Israel. Na ili vita uiendeshe kwa muda mrefu, ni lazima uwe na uchumi mkubwa na ulio mzuri.

Jambo jingine muhimu ni kuwa Iran inachukiwa na majirani zake kwa kupandikiza makundi ya kigaidi kudhoofisha Serikali zao, hivyo Israel kupunguza nguvu za kijeshi za Iran ni faraja kubwa kwa mataifa jirani. Kwa hiho Israel ina uwezo wa kuingiza silaha na hata fedha kiurahisi kutoka kwa mataifa mengine yanayoona Uran ni tishio kwa usalama wao. Kitu ambacho Iran haina. Urusi na Mchina wanaangalia zaidi madlahi yao, hawawezi kuisaidia Iran kwenye masuala yanayogusa uchumi wao. Wanaweza kuipatia Iran silaha ambazo wao hawazihitaji lakini siyo zile wanazozitegemea.
 
Back
Top Bottom