Uzuri wenzetu hawazaliani kama sungura kama ilivyo kwa Waarabu anakimbia yeye kama yeye... Wale kobaz huwa wanakimbia na watoto hadi wengine wanawasahauGood night people
Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa....
The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening.
The military also said the IDF was striking military infrastructure across central Iran, in addition to strikes on southwestern Iran earlier on Saturday.
This is a developing story.
Israel-Iran War Live Updates: Iran launches more missiles against Israel | The Jerusalem Post
Iran warned Trump of terror attacks within US if he struck nuclear facilities • Home Front Command extends essential-only activity restrictions until at least Monday eveningwww.jpost.com
Una usingizi?..Iran ilishapigana vita na Iraq iliyokuwa ikisaidiwa na Marekani kwa miaka 8. Sasa sijui ni kwanini Israel wameamua kuanzisha vita nao. Naona kama Israel hawezi kupigana vita vya muda mrefu na Iran. Kwa upande mwingine nimeshangaa jinsi ambavyo anga la Iran limevamiwa kirahisi kama ilivyotokea. Uwezo wa Iran kurusha makombora mengi kwa wakati mmoja ni tishio kwa Israel. Vita hii ikiendelea kwa muda mrefu upo uwezekano wa Israel kuchakazwa kutokana na wingi wa makombora aliyonayo Iran.
Umesha sema anga lake limevamiwa kirahisi alafu tena unasema lsrael itachakazwa una akili kweli wewe? Au unaropoka tu na wewe uonekane umechangia mada?..Iran ilishapigana vita na Iraq iliyokuwa ikisaidiwa na Marekani kwa miaka 8. Sasa sijui ni kwanini Israel wameamua kuanzisha vita nao. Naona kama Israel hawezi kupigana vita vya muda mrefu na Iran. Kwa upande mwingine nimeshangaa jinsi ambavyo anga la Iran limevamiwa kirahisi kama ilivyotokea. Uwezo wa Iran kurusha makombora mengi kwa wakati mmoja ni tishio kwa Israel. Vita hii ikiendelea kwa muda mrefu upo uwezekano wa Israel kuchakazwa kutokana na wingi wa makombora aliyonayo Iran.
Umesha sema anga lake limevamiwa kirahisi alafu tena unasema lsrael itachakazwa una akili kweli wewe? Au unaropoka tu na wewe uonekane umechangia mada?
Hakuna unachokijua wewe nenda kalale tu mada kubwa kwako hii..Iran wameonyesha uwezo wa kurusha makombora kwa Israel.
..Na Israel ni nchi ndogo sana sasa tujiulize inaweza kustahimili makombora mengi kiasi gani?
..Ni kweli anga la Iran limevamiwa kwa namna ambayo sikutarajia. Lakini Iran ni nchi kubwa, na ina watu wengi.
..Kupiga makombora 100 Iran kuna madhara kidogo kuliko kupiga makombora 100 Israel.
..Hicho ndicho nilichokiona mimi. Sijui wewe umeona nini.
Hakuna unachokijua wewe nenda kalale tu mada kubwa kwako hii
..Iran ilishapigana vita na Iraq iliyokuwa ikisaidiwa na Marekani kwa miaka 8. Sasa sijui ni kwanini Israel wameamua kuanzisha vita nao. Naona kama Israel hawezi kupigana vita vya muda mrefu na Iran. Kwa upande mwingine nimeshangaa jinsi ambavyo anga la Iran limevamiwa kirahisi kama ilivyotokea. Uwezo wa Iran kurusha makombora mengi kwa wakati mmoja ni tishio kwa Israel. Vita hii ikiendelea kwa muda mrefu upo uwezekano wa Israel kuchakazwa kutokana na wingi wa makombora aliyonayo Iran.
Hivi ni kweli Iran hakuna siku iliyofanikiwa katika mashambulizi yake vs Israel?Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa....
The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening.
The military also said the IDF was striking military infrastructure across central Iran, in addition to strikes on southwestern Iran earlier on Saturday.
This is a developing story.
Israel-Iran War Live Updates: Iran launches more missiles against Israel | The Jerusalem Post
Iran warned Trump of terror attacks within US if he struck nuclear facilities • Home Front Command extends essential-only activity restrictions until at least Monday eveningwww.jpost.com
..Iran wameonyesha uwezo wa kurusha makombora kwa Israel.