Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Israel sio wajinga au vichaa ukiona wameenda kupiga kule ujue kuna kitu huenda kulikuwa na silaha nyingi zilikuwa zmetumwa kwenda kwenye uwanja wa vita kuwashambulia kwahyo zimewahiwa kabla ya kufikaAsa Syria wanaenda Fanya nn huko ,.hawa Israel wamechanganyikiwa xx
Na Lebanon wanaenda kufanya nn? Wale Hezbollah wametengenezwa vile na Iran kwa kazi moja tuuu kuishambulia Israel kama sio kuifuta. Syria na Lebanon ni majirani sasa jiongeze mwenyew Israel kafata nn SyriaAsa Syria wanaenda Fanya nn huko ,.hawa Israel wamechanganyikiwa xx
Hiki kitaifa kina hangaika sana aisee....kilianza huvyo hivyo kukuru kakara kikaenda kuangasha ubalozi ..na sasa tupo hapa kwenye vurugu zao na iran hajamaliza bado anahaingaika tenaWadau hamjamboni nyote?
Taarifa imetolewa na Serikali ya Syria no IDF wameshambulia miji husika.
Taarifa kamili tutazidi kuwaletea
Time's of Israel
Syria says several soldiers hurt, damage caused in Israeli strike in Aleppo and Idlib area
By Emanuel Fabian Follow
Today, 1:18 am
5
Syria’s state-run SANA news agency says several soldiers were wounded and damage was caused in an Israeli airstrike a short while ago in the Aleppo and Idlib area.
There is no comment from the IDF on the strike.
Acha wahaingaieke tu maana Damascus kwa ubalozi wa Iran ulianza hivi hiviIsrael sio wajinga au vichaa ukiona wameenda kupiga kule ujue kuna kitu huenda kulikuwa na silaha nyingi zilikuwa zmetumwa kwenda kwenye uwanja wa vita kuwashambulia kwahyo zimewahiwa kabla ya kufika
Ulijiuliza why pia Iran wakati Iran ipo mbali sana na Israel? Syria ni jirani yao wa karibu. IDF na Mossaid sio wehu; wanajua wanacho kifanya.Asa Syria wanaenda Fanya nn huko ,.hawa Israel wamechanganyikiwa xx
Makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Iran, yapo Syria, Iraq, Lebanon, Yemen na Gaza.Asa Syria wanaenda Fanya nn huko ,.hawa Israel wamechanganyikiwa xx
Umepigwa Sana Miaka TeleIla huo mji wa Aleppo duh! Ni wa kuhurumia; umeteseka sana huo mji. Anyway, kwa kuwa umejitolea kuficha waovu utateketea kwa uovu wake.
Msitafute justification kwamba unajisahaulisha Israel ilitaka kumng'oa Assad ila baada ya Urusi kutia timu wakakimbia!! Hawataki amani middle east maana wanajua siku amani ikipatikana waarabu watakaa meza moja na kupatana!!!Ulijiuliza why pia Iran wakati Iran ipo mbali sana na Israel? Syria ni jirani yao wa karibu. IDF na Mossaid sio wehu; wanajua wanacho kifanya.
Gaidi kwa mtizamo wako,ila dunia inawafahamu hao kama freedom fighters.Makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Iran, yapo Syria, Iraq, Lebanon, Yemen na Gaza.
Silaha zote za kundi la kigaidi la Hezbollah, zinapitia Syria.
Wanadhibiti mtandao wa ugaidi unaopitisha silaha kimagendo kwenda LebanonAsa Syria wanaenda Fanya nn huko ,.hawa Israel wamechanganyikiwa xx
Hujui kuwa Iran anataka ifuta Israel?Hiki kitaifa kina hangaika sana aisee....kilianza huvyo hivyo kukuru kakara kikaenda kuangasha ubalozi ..na sasa tupo hapa kwenye vurugu zao na iran hajamaliza bado anahaingaika tena
Umempa za uso.Makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Iran, yapo Syria, Iraq, Lebanon, Yemen na Gaza.
Silaha zote za kundi la kigaidi la Hezbollah, zinapitia Syria.
Hakika.Umempa za uso.