Ndege za jeshi la Marekani zaingia kwa wingi uUaya, Iran kufuata baada ya Venezuela!?

Ndege za jeshi la Marekani zaingia kwa wingi uUaya, Iran kufuata baada ya Venezuela!?

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Ndege za jeshi la marekani zinaingia kwa wingi uingereza na nchi zingine za ulaya ikiwemo uturuki
Inaongeza wasiwasi kwamba huenda Iran itakumbwa na kile kilichoikumba Venezuela
Iran kwa upande wao wameweka bango lenye picha za majeneza yenye bendera za marekani na Israel yenye ujumbe 'jalini wanajeshi wenu'
Jana kiongozi mkuu upinzani Israel,yair lapid aliwataka watawala wa Iran kujifunza jambo kwa tukio la Venezuela
 

Attachments

  • Screenshot_2026-01-04-22-53-48-513.jpg
    Screenshot_2026-01-04-22-53-48-513.jpg
    120.4 KB · Views: 28
  • Screenshot_2026-01-04-23-02-54-790.jpg
    Screenshot_2026-01-04-23-02-54-790.jpg
    121.7 KB · Views: 27
  • IMG_20260104_231920_383.jpg
    IMG_20260104_231920_383.jpg
    115.8 KB · Views: 30
Netanyahu akienda marekani harudi bure,japo kashinikizwa kufungua kivuko cha rafah na Trump, lakini kuna jingine,hasa ukizingatia uhamasishaji wake kwa wairan kuiasi serikali ya ayatollah
 
Naona Trump anataka kutimiza kauli yake ya make america great again, ngoja tuone mpango wao na bibi nyau wa kumsulubu bwana khamenei utakuwaje.
 
Iran ndo nchi pekee ya kiislamu yenye demokrasia ya wazi kabisa,Haina waislamu wenye misimamo mkali ya kinguruwe ni washia wastarabu,Iran haitaanguka kipuuzi kabisa na USA na Israeli wanajua Hilo.......
 
Iran ndo nchi pekee ya kiislamu yenye demokrasia ya wazi kabisa,Haina waislamu wenye misimamo mkali ya kinguruwe ni washia wastarabu,Iran haitaanguka kipuuzi kabisa na USA na Israeli wanajua Hilo.......
Patakua vurugu tupu mashariki ya kati
 
Wanataka iwe hivyo kwani marekani kishafilisika na West hali yao ni ngumu ya kiuchumi wanaamua kuimaliza dunia
Siyo wameamua kufanya ujambazi wafufuke!?.. Iran kagundua futa jingi na lithium na rare Earth's zingine
 
Hii si kawaida.. Iran nao wanatest air defense systems
 

Attachments

  • Screenshot_2026-01-05-01-29-06-671.jpg
    Screenshot_2026-01-05-01-29-06-671.jpg
    135.6 KB · Views: 23
Back
Top Bottom