Ndege za jeshi la Marekani zaingia kwa wingi uUaya, Iran kufuata baada ya Venezuela!?

Panataka kuchangamka, urusi kaondoa watu wake ubalozini Israel na Australia kawaambia raia wake waondoke haraka Iran
Midege vita ya USA imeondoka kwa wingi UK kuelekea mashariki ya kati
 
Sasa ni wakati wa kusikiliza vyombo vya habari mchangamko umeongezeka, ngoja tuone ngoma ya wakubwa inachezwaje. Sisi huku tusubirie maumivu wa mafuta kupanda bei na gharama za maisha kuongezeka.
 
Back
Top Bottom