gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Au siyo!?..panawaka hapo muda si mrefuFuraha yangu n kuona makobaz wakilambishwa mchanga
Netanyahu analala usingizi mzuri sana mwezi huu,hili la Iran sidhani kama mwezi utaishaNaona Trump anataka kutimiza kauli yake ya make america great again, ngoja tuone mpango wao na bibi nyau wa kumsulubu bwana khamenei utakuwaje.
Wenye mafuta,wasio na mafuta hawana shidaKuna madikteta uchwara mda huu wapo wanaboresha mahandaki yao ya kujificha.
Kitachafuka, halafu ayatollah atapigwa na marekani ye atachakaza tel AvivKwa Ayatollah hapo mmarekani hawezi ingia kichwa kichwa.
Patakua vurugu tupu mashariki ya katiIran ndo nchi pekee ya kiislamu yenye demokrasia ya wazi kabisa,Haina waislamu wenye misimamo mkali ya kinguruwe ni washia wastarabu,Iran haitaanguka kipuuzi kabisa na USA na Israeli wanajua Hilo.......
Iran hawaigusi wanajua nuclear anayo zamani na Israel itaondoka kuliko ilivyoondoka GazaNetanyahu analala usingizi mzuri sana mwezi huu,hili la Iran sidhani kama mwezi utaisha
Wanataka iwe hivyo kwani marekani kishafilisika na West hali yao ni ngumu ya kiuchumi wanaamua kuimaliza duniaPatakua vurugu tupu mashariki ya kati
Build up ya USA ulaya si ya kawaidaIran hawaigusi wanajua nuclear anayo zamani na Israel itaondoka kuliko ilivyoondoka Gaza
Siyo wameamua kufanya ujambazi wafufuke!?.. Iran kagundua futa jingi na lithium na rare Earth's zingineWanataka iwe hivyo kwani marekani kishafilisika na West hali yao ni ngumu ya kiuchumi wanaamua kuimaliza dunia
watafikiwa tu mda haujawahi kudanganyaWenye mafuta,wasio na mafuta hawana shida
Anamtisha Mrusi kuhusu UkraineBuild up ya USA ulaya si ya kawaida
Hapata kalika maana kila upande umejiandaa.Patakua vurugu tupu mashariki ya kati