KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mahakamani kwa mashitaka yapi ya msingi?
Kwani Slaa, Mbowe, Lissu na Mnyika walisema wana ushahidi wa mashtaka yapi juu ya Lowasa....??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakamani kwa mashitaka yapi ya msingi?
THE TOP TEN STRONGEST ARMY IN AFRICA
1) South Africa ( South Africa has the most powerful army in africa; it has more harmful weapons than any other country in Africa; it is the only African country that was trying to create the Nuclear weapon but was stopped by the US.
2) Egypt
3) Nigeria
4) Libya
5) Morocco
6) Sudan
7) Ghana
8) Tanzania ( Tanzania has the most powerful army in east africa, The Tanzania Peoples' Defence Force (TPDF) ( Swahili: Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ))
9) Uganda
10) Kenya
Malaysia ilipata uhuru 1957 na Singapore 1959, lakini kiwango chao cha maendeleo wanatuzidi karibu miaka mingine sawa na umri wa uhuru wetu. Hata hilo halikushangazi?Miaka 50ya uhuru ni michache sana , hao tunaojilinganisha nao wanajitawala kwa miaka 3000!
Kwahiyo unataka tujadili zile Karate na kuvunja kwa vitofari vya kuchoma kwenye sherehe za Uhuru?
Au wewe mtu kujadili kitu lazima uwe umekipitia? maana humu watu wamejadili hadi Escrow na wala hawajawahi shika hata million kumi...
Issue Jeshi linatia aibu... pengine kuna Ufisadi ila ndio watu wanaogopa... ni ziadi ya Upumbavu kama kuna watu wasiofaa mule waogopwe kisa wajeshi? akaunt zao zina mabillion tu Silaha tukivamiwa tumekwisha...
Malaysia ilipata uhuru 1957 na Singapore 1959, lakini kiwango chao cha maendeleo wanatuzidi karibu miaka mingine sawa na umri wa uhuru wetu. Hata hilo halikushangazi?
Hivi unajua kuwa ulichokifanya ni kazi ya kigaidi?
Wacha undezi wewe mbona nchi zote zinaeleweka kuwa zina silaha gani ndio maana kuna kitu kinaitwa Rank ambayo huonesha nchi yenye nguvu kubwa kijeshi hadi ile ndezi kabisa kama kina Tanzania n.k hiyo mambo ya kiintelijesia haiwezi kutumika sana zaidi ya kujitengenezea silaha za ndani... record zote zipo za kuuziana silaha zinatizamwa ndio maana hata ukiwa na nuklia utajulikana tu Tanzania sisi ni Weupe... kuhusu angani kwa Elimu yetu hii ni balaa maana hata ndege za vita kwenye maonesho huwa zinakodiwa uchina na huendeshwa na wachina wenyewe... na wanajeshi wetu huzipigia saluti...
So unavyojiaminisha au kuficha aibu za nchi kwa akili yako wewe unaona Tanzania zipo Ngege hadi F-16 ila nape kakataza watu wasizungumzie! bul-shait
Nimekufuatilia uchangiaji wako nadhan wewe ndiye mnyarwanda uliyekuwa umetumwa na kagame kuichunguza nchi yetu na sasa unaendelea na uchunguzi wako hapa.watanzania linapokuja suala LA usalama wa nchi yetu hatuna itikadi.kwa upumbavu wako unataka watu watoe sina ya silaha tulizo nazo ili iweje.unajua maana ya usalama wewe?kwa jeshi letu liweke maonyesho ya silaha zetu zote tutakuwa na akili kweli.upumbavu si kitu hamia ujinga ujifunze.
Kawaulize m23 habari yetu.