Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu badala ya Kujibu ueleweke unaleta majibu ambuigas Mara aliyekuuzia anafahamu mara huwezi fahamu mpaka uwe mtu wa Usalama.... haya Magara yanayolipuka yenyewe kuna silaha gani za hatari na maangamizi za kumpiga Adui au kupigana vita vya zaidi ya mwaka mmoja? hiyo unayosema wewe Interjensia ni pale kunapokuwepo na mpango wa kufanya black market nchi fulani inaweza kuwa imepigwa ban ya kuwa na silaha ndio baadhi ya nchi marafiki au njaa yao huwauzia kwa kificho lakini silaha zote duniani zinajulikana zimeelekea wapi ndio maana zina namba... hizo namba ni International sio kama unavyofyatua matofari....
Tanzania jambo la Kwanza Haina Nuclear war head, Haina Ndege za Kisasa,Haina Vifaru vya Kisasa,haina meli za Kisasa na siku ikinunua mtakula nyasi nyie wacheni michezo Tanzania hatuna kitu cha kutisha zaidi ya vibomu vya kawaida tu na baruti... ndege ni zile zile za kirusi na za kichina ambazo asili yake ni Russia... Ndio maana Misri aliwatizama akasema atachapa mtu yeyote akichezea maji ya Mto Nile... Kununua Rada ya kivita moja tu Nchi iliyumba silaha zetu zimejaa kutu Vita ikitokea ni kusaidiwa na China tu maana Raisi wa China alisikitika sana baada ya kuona Shida za Tanzania... maana ni sawa na Mtoto asiyekuwa.. au kila Mwaka anarudia Darasa hilo hilo tu... Na watu kama nyinyi maishani mwenu hamna maendeleo sababu hamkui Mmedumaa
Pole sana kwa uoga ulionao moyoni na maishani mwako...
Silaha zote Duniani zinafahamika zile bora na zisizo bora.... na pia katika makampuni ya kutengeneza Silaha yanafahamika na silaha kali duniani huwa zinakuwa na wadhamini ambazo ni most of the time ni nchi husika zenye mamlaka kamili na hii huwa ni official.... na si kienyeji kama unavyoodhania wewe....
Silaha hutolewa order kwa mnunuzi ambaye ni nchi na hizo silaha zikishakuwa tayari kwa matumizi nchi husika most of the time huwa anakuwa ameshamaliza malipo yote au kubakiza kiasi.... records huwa zishawekwa kuwa Tanania kauziwa S-400 moja au kumi,Sudan Syria au nchi husika na si kwa Magaidi ambazo ndio huwa siri kuu na siyo nchi husika... haya mambo huwa yapo wazi ndio maana data zinapatikana kwa uwazi... Utasikia Egypt ana silaha kali na ndege F-16 zaidi ya Arobaini hii ipo wazi na ndio maana alisema nchi itakayo taka kuleta zake kuhusu Mto nile ataipiga kivita.... na kiukweli Tanzania hata kama ina silaha za kificho hawawezi kuleta mzozo wa kivita na Misri...
Unaposema siwezi fahamu miaka 1000 ni sawa na wewe nikuite wewe ni mtu unayeishi kwa makisio tu Binadamu hatuwezi fahamu siri za Mungu tu na sio zetu wenyewe.... pole sana kwa kujianika akili zako...
Nchi zote Silaha zake zinaeleweka hata ukiwa na silaha za kibaiolojia utajulikana tu... hakuna siri hapa Duniani... Tanzania sisi tupo down sana...
![]()
Uwanja wa Ndege Kigoma.... Kitu VIP nimeipenda.... Nchi ina miaka zaidi ya 50 ya uhuru bora Mkoloni
msijipe moyo kiivo... vitu vingine viko wazi tu kwa mfano kama tungekuwa na meli za kivita si tungeziona zikiwa baharini au nazo zimefichwa kwenye kambi za kijeshi...
Ngoja niwape somo mafala wanao support suala zima la jeshi kuweka wazi silaha za kivita na kijeshi kujulikana na kila mtu.
For the sake of security ya Taifa lolote lile Duniani, hilo suala haliwezi kutokea.
Kama unataka kujua jeshi lina silaha gani, nenda kule na kitambulisho chako cha uraia wakuonyeshe. na hata hawatoweza kukuonyesha yote wanajua mashushu ni wengi Dunia hii.
Mfano :- Kwa nini uwezi kuwaambia marafiki zako wa karibu ni jinsi gani uliotumia kumpata huyo mkeo?
Na
Ubongo wako umetawaliwa na mapenzi.
Everton 1 Man city 1 mpira umeisha
Kagame Katokea wapi Tena? Nchi Imeoza Hii
Hii thread ilishafungwa tokea tukio la amboni Tanga.. nadhani kila mtu sasa anaelewa uwezo wetu...
tulifanikiwa kuua nyani wanne.. that is the best we could do..
Chagua Lowasa na Chadema tufufue TZ. CCM imeua nchi.
Mahakamani kwa mashitaka yapi ya msingi?Leo Lowasa amekuwa masihi baada ya kuwa angepaswa kuwa mahakamani au jela kwa ufisadi kama mlivyotuaminisha...
Wonder shall never ends...