Ndege za Jeshi la Tanzania zilizobakia

Ndege za Jeshi la Tanzania zilizobakia

Tanzania Air Force Command

From Wikipedia, the free encyclopedia
[TABLE="class: infobox, width: 22"]
[TR]
[TH="bgcolor: #B0C4DE, colspan: 2, align: center"]Tanzania Air Force Command[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #DCDCDC, colspan: 2, align: center"]Swahili: Kamandi ya Jeshi la Anga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] Tanzania Air Force roundel[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Active[/TH]
[TD]1964-present[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Country[/TH]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Branch[/TH]
[TD]Air Force[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Part of[/TH]
[TD]Tanzania People's Defence Force[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Engagements[/TH]
[TD]Uganda–Tanzania War[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #B0C4DE, colspan: 2, align: center"]Commanders[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Commander[/TH]
[TD]Maj. Gen. Festo Ulomi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #B0C4DE, colspan: 2, align: center"]Aircraft flown[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Fighter[/TH]
[TD]F-7, F-5, F-6, MiG-21MF and MiG-21U[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Helicopter[/TH]
[TD]Bell 206[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Trainer[/TH]
[TD]K-8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Transport[/TH]
[TD]Y-8, Y-12[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Tanzania Air Force Command is the national air force of Tanzania.[SUP][1][/SUP]
Contents

Aircraft

Fighters
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="align: left"]Aircraft[/TH]
[TH="align: left"]Origin[/TH]
[TH="align: left"]Type[/TH]
[TH="align: left"]Versions[/TH]
[TH="align: left"]In service[SUP][2][/SUP][/TH]
[TH="align: left"]Notes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]MiG-21MF[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Soviet_Union.svg.png
USSR[/TD]
[TD]Fighter[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MiG-21U[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Soviet_Union.svg.png
USSR[/TD]
[TD]Fighter[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shenyang J-5[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Ground attack[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shenyang J-6[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Ground attack[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]?[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chengdu J-7A[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Interceptor[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chengdu J-7TN / F-7TN[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Interceptor[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Trainers
MiG-21 fighter aircraft at Mwanza Air Force Base

[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="align: left"]Aircraft[/TH]
[TH="align: left"]Origin[/TH]
[TH="align: left"]Type[/TH]
[TH="align: left"]Versions[/TH]
[TH="align: left"]In service[SUP][2][/SUP][/TH]
[TH="align: left"]Notes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]MiG-21U[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Soviet_Union.svg.png
USSR[/TD]
[TD]Trainer[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Guiyang FT-7TN[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Trainer[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Transport
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="align: left"]Aircraft[/TH]
[TH="align: left"]Origin[/TH]
[TH="align: left"]Type[/TH]
[TH="align: left"]Versions[/TH]
[TH="align: left"]In service[SUP][2][/SUP][/TH]
[TH="align: left"]Notes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Shaanxi Y-8[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Transport[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]?[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Harbin Y-12[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Transport[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]?[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Rotary
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="align: left"]Aircraft[/TH]
[TH="align: left"]Origin[/TH]
[TH="align: left"]Type[/TH]
[TH="align: left"]Versions[/TH]
[TH="align: left"]In service[SUP][2][/SUP][/TH]
[TH="align: left"]Notes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Bell 206[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
USA[/TD]
[TD]Transport[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]?[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Former Aircraft
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="align: left"]Aircraft[/TH]
[TH="align: left"]Origin[/TH]
[TH="align: left"]Type[/TH]
[TH="align: left"]Versions[/TH]
[TH="align: left"]In service[SUP][2][/SUP][/TH]
[TH="align: left"]Notes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Hongdu JL-8[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Trainer[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD]In Storage[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
A JWTZ helicopter.

Bases

Tuna midege ile ya Kirusi ya kale na ya kichina hivi ki ukweli vita vya juu hatuviwezi tujidai na vita vya ardhini tu...

Jiyo Helicopter ya Jeshi nimeitizama machozi yananilenga... Bajeti za Jeshi ni Mlo au Vifaa? na nako kuna Escrow? au ndio kuficha Trilllion South Africa tu? naamini ikitokea vita tumekwisha labda sababu mchina alisema akichokozwa Mtanzania basi amechokozwa mchina pia... ila tumeyaona ya China kule Sudan na Syria kakaa pembeni kimya...

Watanzania tusichokoze nchi zenye uwezo wa silaha....

HIZI TAARIFA NI OVER 15 years OUTDATED ....NDIO TATIZO LA KUTEGEMEA WIKILINK
 
Acha kutegemea wikipedia mkuu. Habari kadhaa kuhusu majeshi huwa hazipatikani huko. Hiyo habari uliyoquote imepitwa na wakati sana!HHatunahaja ya kumwaga mtama kunako kuku Wengi.

Mkuu hata usipotaja silaha zako waliokuuzia wanadata zote... huwezi uziwa B55 AU nDEGE F-16 asijue mtu... pole sana
 
@ Mlaleo!
source ya hizo habari ulizonazo ni Google and na zingne umesikia kama wengine wanavyosikia! huna evidence weather kila nchi ina vujisha siri kuwa wana sihala gani..though nje km USA ni rahisi kujua Tz ana nini kuwa yeye Ndo mtengenezaji na muuzaji...lakini nchi kma nchi haiwezi kuexpose siri zake za kijeshi..never and ever! ushawahi kisikia Jwtz wanampango wa kununua silaha Fulani ? utasikia kwa sikia kuwa wana silaha hii na ile bt huna UHAKIKA na hilo..Kuna " Black Budget" kwa jeshi lolote ambayo wewe hutoifahamu zaidi ya watu wa intelligencia ambao nao hawawezi kuropoka tuna hili na lile..

Utaishia wikipedia tuu mtu wangu ! na habari za kusikia , athawaizi uwe mtu wa usalama!..

kama unabisha Leta conclusive evidence kuwa Tz anamiliki silaha hii na hii....
lol....@ u
 
Kwa kuanzia tu ni kwamba gen ulomi ni retired, airforce commander wa sasa anaitwa maj.gen. jf kapwani, therefore, data zako zote inabd ziwe updated,, good evening
 
HIZI TAARIFA NI OVER 15 years OUTDATED ....NDIO TATIZO LA KUTEGEMEA WIKILINK

Wewe unategemea ipi? Lumumba au? au Unataka Tumtegemee Salva? kama huna point Nyamaza... maana hata mtu kukusoma anachoka au kujuta alichopata kutoka kwako...

Unafahamu hata mtu asiye na akili vizuri au mgumu kuelewa akiwa anaingia tu ddarasani na mwalimu anafundisha anakuwa na nafuu kuliko wewe mtoro usiyeingia kabisa...

Miaka 15 unahesabu au ndio makisio yako tu? it means hizi ni Data za Mwaka 2000 Raisi Mkapa!
 
ha ha ha mkuu to be honesty hawawezi sema wanandege aina gani na kiasi gani huwaga inakuwa ni siri na pia unaponunua vifaa vya kivita kuna kitu kinaitwa "military balance" kati yako na majirani zako.military balance huwa inapangwa na wakubwa(usa,uk,russia,china,nk..)ndio maana huwezi kukuta mmarekani kamuuzia mkenya zile ndege kali za kivita mfano F 22 RAPTOR,F35,B52 NK vivyo hivyo kwa mrusi kuuza kwetu Mig 35,sukhoi 35,TU 160 supersonic bomber,mchina na wengine pia au hata RADAR za kisasa,vifaru na vifaa vingine vya kisasa hawataki kutubua military balance ya eneo kuepuka mashindano ya silaha ndio maana nchi za kiarabu(iran,syria nk) zinauziwa silaha kali za kivita na mrusi ili ku counter silaha ambazo mmarekani anauza kwa israel kuleta military balance of power ,the same kwa ukanda wa asia kati ya india na pakstani , then china,korea kaskazin vs japan,korea kusini na taiwan leo hii dictator museveni au kagame wawe na hayo madege yasiyoonekana kwenye radar tutapona na radar yetu ya akina CHENGE inayoishia chalinze,wawe na mabalistic missiles wawe na air defence system kama s400 siku kichaa kikiwapanda tutakwisha huku .
The same kwetu huku na wanasiasa wetu vilaza kama akina nape,mwigulu sijui membe,na wengine vilaza you name them siku washike madaraka nyeti wanaweza tumia hizo silaha kupigia ukawa au hata sehem yoyote ilimradi washinde uchaguzi so mkuu hivyo videge unavyovionaga vinapitapita kipindi cha sherehe vinatutosha kutokana na akili zetu zilivyo wazungu wanaakili sana mkuu sio kama sisi mambururaView attachment 217607View attachment 217608View attachment 217609View attachment 217610View attachment 217612View attachment 217614View attachment 217616View attachment 217617View attachment 217621View attachment 217622View attachment 217622View attachment 217623View attachment 217630View attachment 217629View attachment 217632View attachment 217634View attachment 217636View attachment 217622View attachment 217638View attachment 217640

Kamanda haya madude tukimiliki na membe achukue nchi basi majirani wakae chonjo..
Nisheeedaaaa
 
@ Mlaleo!
source ya hizo habari ulizonazo ni Google and na zingne umesikia kama wengine wanavyosikia! huna evidence weather kila nchi ina vujisha siri kuwa wana sihala gani..though nje km USA ni rahisi kujua Tz ana nini kuwa yeye Ndo mtengenezaji na muuzaji...lakini nchi kma nchi haiwezi kuexpose siri zake za kijeshi..never and ever! ushawahi kisikia Jwtz wanampango wa kununua silaha Fulani ? utasikia kwa sikia kuwa wana silaha hii na ile bt huna UHAKIKA na hilo..Kuna " Black Budget" kwa jeshi lolote ambayo wewe hutoifahamu zaidi ya watu wa intelligencia ambao nao hawawezi kuropoka tuna hili na lile..

Utaishia wikipedia tuu mtu wangu ! na habari za kusikia , athawaizi uwe mtu wa usalama!..

kama unabisha Leta conclusive evidence kuwa Tz anamiliki silaha hii na hii....
lol....@ u

Mkuu badala ya Kujibu ueleweke unaleta majibu ambuigas Mara aliyekuuzia anafahamu mara huwezi fahamu mpaka uwe mtu wa Usalama.... haya Magara yanayolipuka yenyewe kuna silaha gani za hatari na maangamizi za kumpiga Adui au kupigana vita vya zaidi ya mwaka mmoja? hiyo unayosema wewe Interjensia ni pale kunapokuwepo na mpango wa kufanya black market nchi fulani inaweza kuwa imepigwa ban ya kuwa na silaha ndio baadhi ya nchi marafiki au njaa yao huwauzia kwa kificho lakini silaha zote duniani zinajulikana zimeelekea wapi ndio maana zina namba... hizo namba ni International sio kama unavyofyatua matofari....

Tanzania jambo la Kwanza Haina Nuclear war head, Haina Ndege za Kisasa,Haina Vifaru vya Kisasa,haina meli za Kisasa na siku ikinunua mtakula nyasi nyie wacheni michezo Tanzania hatuna kitu cha kutisha zaidi ya vibomu vya kawaida tu na baruti... ndege ni zile zile za kirusi na za kichina ambazo asili yake ni Russia... Ndio maana Misri aliwatizama akasema atachapa mtu yeyote akichezea maji ya Mto Nile... Kununua Rada ya kivita moja tu Nchi iliyumba silaha zetu zimejaa kutu Vita ikitokea ni kusaidiwa na China tu maana Raisi wa China alisikitika sana baada ya kuona Shida za Tanzania... maana ni sawa na Mtoto asiyekuwa.. au kila Mwaka anarudia Darasa hilo hilo tu... Na watu kama nyinyi maishani mwenu hamna maendeleo sababu hamkui Mmedumaa
 
!
!
unavyoona elimu, michezo, teknolojia na kadhalika ni hivyo hivyo sehemu nyingine zote. We are good for nothing. Yaani mfungwe na Uganda kwenye football halafu muwapmshinde kwenye jeshi? Uganda ya 77 sio ya 2010.
 
@ Mlaleo
Nakupata kuhusu kampuni zinazouza silaha kufahamu kuwa silaha zimeenda wapi kutokana na silaha kuwa na namba!

Bt argument yangu kwako kuwa nchi yenyewe haiwezi kutangaza kuwa ina silaha Fulani.... it remains the secret of seller ....
So lolote unalojua kuhusu silaha za nchi km raia utajua hilo hilo...ila hawaweka hadharani...

I hp u get my point now!
 
Kama unaamini kila silaha tuliyonayo inakuwa exposed kwenye mitandao au public kwa ujumla basi una safari ndefu ya kujua kuhusu usalama wa nchi.
 
@ Mlaleo
Nakupata kuhusu kampuni zinazouza silaha kufahamu kuwa silaha zimeenda wapi kutokana na silaha kuwa na namba!

Bt argument yangu kwako kuwa nchi yenyewe haiwezi kutangaza kuwa ina silaha Fulani.... it remains the secret of seller ....
So lolote unalojua kuhusu silaha za nchi km raia utajua hilo hilo...ila hawaweka hadharani...

I hp u get my point now!
Mkulu tupo pamoja ila kwa vi silaha vidogo vidogo pengine yaweza kuwa ni siri kwani kuna silaha zile comon ambazo kila jeshi lazima liwe nazo kama grenade,Bunduki automatic machine, n.k na kuna silaha ambazo zimepigwa marufuku Duniani kama mabomu ya Ardhini,Kemikali ambazo pamoja na Sumu,Phosphurus bomb n.k Sasa tukija kwenye Tank Vifaru vyote vinaruhusiwa,Ndege za Kivita,Mitambo ya Kutungulia Ndege Manowari na Vifaa vya Navy n.k Kwa record yetu ina udhaifu mkubwa na ukizingatia rushwa ilivyoshika kasi kwa kila eneo la nchi hii nikimaanisha hadi mule nyumba nyeupe kwani ndio kinara na wengine wanaiga tu... kwasababu hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzie...

Hivyo silaha kubwa zote za kisasa lazima zijulikane na mtengenezaji na mnunuzi pia... hizo siri ni kuficha ufisadi tu...
 
Mlaleo

olrait then, mwenyewe naamini hatuna advanced weapons..kuna nchi ikatokea tukaingia nao vitani itabidi tutafute washirika wa kutupiga tafu...athawaizi itakuwa dizasta
 
Last edited by a moderator:
Sio uzalendo kujadili jeshi letu kwa namna yeyote ile.
Pole sana hivyo Jeshi lako kama limebakiwa na mapanga unyamaze tu kisa Uzalendo? duh! Uzalendo ni kuhakikisha Jeshi lako lipo Imara na uwe unafahamu usalama wako na raia wengine upoje ndio maana hata Kagame anaweza kutukana raisi kuwa anaweza mzaba vibao ni sababu ya Jesi lake lipo kamili na uwezo linao... Hizi silaha enzi hizo zilikuwepo na tuliogopewa Africa Nzima kwa hizi silaha kwenye list hapo juu... lakini kwa Sasa hata Malawi anatuvimbia silaha zote zipo kwenye records sisi tunatembea backwards.... Ukizingatia na Mkulu mwenyewe hata akisoma hapa ataishia kucheka cheka tu...

Uzalendo ni kupenda chako na ukiboreshe kiwe imara sio kulega lega... Hivi kama wewe mwanao akiugua kipindupindu utaogopa kumpeleka Hospital kwasababu utaonekana umemuacha mwanao amekula chakula chenye kinyesi kutokumpeleka Hospital ndio uonekane mzalendo kwa mwanao? Dawa ni kumpeleka hospital apate matibabu...

Hapa nimesema nchi yetu imebakiwa na silaha chache kuna umuhimu ufisadi uwekwe pembeni tuondoshe aibu ya kudharauliwa na majirani... au vita ikitokea tuanze kuomba msaada china then tunabakia kulipishwa gharama miaka mia...

Usiombe kuingia msaada wa usaidizi wa kivita pale unapochokozwa na mwenye uwezo mikataba huwa mibovu ya kilazima... utajuta.
 
Huna ulijualo kuhusu jwtz zaidi ya propaganda na kutaka tukufunulie vitu

Nina mashaka na uraia wako
 
Back
Top Bottom