Ndege za Jeshi la Tanzania zilizobakia

Ndege za Jeshi la Tanzania zilizobakia

Zipo wapi? au jeshi nalo kwetu ni la Kisiasa tofauti na nchi zingine? zipo zipo zipo?

Yaani wewe na kuambia akili utapata mwaka huu wala mwakani kwa akili yako izo ndo unafikili zana za kumpigia adui usipende kukurupuka ayo ni mambo ya kiitelejensia we mzee zana za kivita unataka uzione wewe we nani? kama ujui uliza jeshi alina siasa na akuna kitu kibaya kama adui akijua nguvu yako ivyo unavyoviona ni kumpoteza tu adui.
 
...

Mugabe naye bana !!

logo_soldiers_zimbabwe.jpg
logo_missile_vehicle_zimbabwe.jpg
 
ha ha ha mkuu to be honesty hawawezi sema wanandege aina gani na kiasi gani huwaga inakuwa ni siri na pia unaponunua vifaa vya kivita kuna kitu kinaitwa "military balance" kati yako na majirani zako.military balance huwa inapangwa na wakubwa(usa,uk,russia,china,nk..)ndio maana huwezi kukuta mmarekani kamuuzia mkenya zile ndege kali za kivita mfano F 22 RAPTOR,F35,B52 NK vivyo hivyo kwa mrusi kuuza kwetu Mig 35,sukhoi 35,TU 160 supersonic bomber,mchina na wengine pia au hata RADAR za kisasa,vifaru na vifaa vingine vya kisasa hawataki kutubua military balance ya eneo kuepuka mashindano ya silaha ndio maana nchi za kiarabu(iran,syria nk) zinauziwa silaha kali za kivita na mrusi ili ku counter silaha ambazo mmarekani anauza kwa israel kuleta military balance of power ,the same kwa ukanda wa asia kati ya india na pakstani , then china,korea kaskazin vs japan,korea kusini na taiwan leo hii dictator museveni au kagame wawe na hayo madege yasiyoonekana kwenye radar tutapona na radar yetu ya akina CHENGE inayoishia chalinze,wawe na mabalistic missiles wawe na air defence system kama s400 siku kichaa kikiwapanda tutakwisha huku .
The same kwetu huku na wanasiasa wetu vilaza kama akina nape,mwigulu sijui membe,na wengine vilaza you name them siku washike madaraka nyeti wanaweza tumia hizo silaha kupigia ukawa au hata sehem yoyote ilimradi washinde uchaguzi so mkuu hivyo videge unavyovionaga vinapitapita kipindi cha sherehe vinatutosha kutokana na akili zetu zilivyo wazungu wanaakili sana mkuu sio kama sisi mambururaView attachment 217607View attachment 217608View attachment 217609View attachment 217610View attachment 217612View attachment 217614View attachment 217616View attachment 217617View attachment 217621View attachment 217622View attachment 217622View attachment 217623View attachment 217630View attachment 217629View attachment 217632View attachment 217634View attachment 217636View attachment 217622View attachment 217638View attachment 217640

Unawashwa wewe sio bure.
 
Yaani wewe na kuambia akili utapata mwaka huu wala mwakani kwa akili yako izo ndo unafikili zana za kumpigia adui usipende kukurupuka ayo ni mambo ya kiitelejensia we mzee zana za kivita unataka uzione wewe we nani? kama ujui uliza jeshi alina siasa na akuna kitu kibaya kama adui akijua nguvu yako ivyo unavyoviona ni kumpoteza tu adui.

Wacha undezi wewe mbona nchi zote zinaeleweka kuwa zina silaha gani ndio maana kuna kitu kinaitwa Rank ambayo huonesha nchi yenye nguvu kubwa kijeshi hadi ile ndezi kabisa kama kina Tanzania n.k hiyo mambo ya kiintelijesia haiwezi kutumika sana zaidi ya kujitengenezea silaha za ndani... record zote zipo za kuuziana silaha zinatizamwa ndio maana hata ukiwa na nuklia utajulikana tu Tanzania sisi ni Weupe... kuhusu angani kwa Elimu yetu hii ni balaa maana hata ndege za vita kwenye maonesho huwa zinakodiwa uchina na huendeshwa na wachina wenyewe... na wanajeshi wetu huzipigia saluti...

So unavyojiaminisha au kuficha aibu za nchi kwa akili yako wewe unaona Tanzania zipo Ngege hadi F-16 ila nape kakataza watu wasizungumzie! bul-shait
 
Helicopter ya Jeshi letu umeiona?
 
...

...Kama ni kweli huko jirani watu wamekula mizizi na majani !!

Iskander_SS-26_Stone_tactical_missile_system_Russia_Russian_army_640_002.jpg
 
Wacha undezi wewe mbona nchi zote zinaeleweka kuwa zina silaha gani ndio maana kuna kitu kinaitwa Rank ambayo huonesha nchi yenye nguvu kubwa kijeshi hadi ile ndezi kabisa kama kina Tanzania n.k hiyo mambo ya kiintelijesia haiwezi kutumika sana zaidi ya kujitengenezea silaha za ndani... record zote zipo za kuuziana silaha zinatizamwa ndio maana hata ukiwa na nuklia utajulikana tu Tanzania sisi ni Weupe... kuhusu angani kwa Elimu yetu hii ni balaa maana hata ndege za vita kwenye maonesho huwa zinakodiwa uchina na huendeshwa na wachina wenyewe... na wanajeshi wetu huzipigia saluti...

So unavyojiaminisha au kuficha aibu za nchi kwa akili yako wewe unaona Tanzania zipo Ngege hadi F-16 ila nape kakataza watu wasizungumzie! bul-shait

Ninarudia tena wewe akili huna sema unataka kufanya udukuzi tu sasa kwa taarifa yako hapa upti kitu eti ndege zinaendeshwa na wachina nani kakudanganya? na wewe kwa akili yako izo ndo ndege zunazotegemewa tz?kwa majirani zetu nani wa kutugusa kivita?acha njaa wewe kama uamini mwambie rais wako ajaribu aone
 
Ukweli haujifichi....
 
Wacha undezi wewe mbona nchi zote zinaeleweka kuwa zina silaha gani ndio maana kuna kitu kinaitwa Rank ambayo huonesha nchi yenye nguvu kubwa kijeshi hadi ile ndezi kabisa kama kina Tanzania n.k hiyo mambo ya kiintelijesia haiwezi kutumika sana zaidi ya kujitengenezea silaha za ndani... record zote zipo za kuuziana silaha zinatizamwa ndio maana hata ukiwa na nuklia utajulikana tu Tanzania sisi ni Weupe... kuhusu angani kwa Elimu yetu hii ni balaa maana hata ndege za vita kwenye maonesho huwa zinakodiwa uchina na huendeshwa na wachina wenyewe... na wanajeshi wetu huzipigia saluti...

So unavyojiaminisha au kuficha aibu za nchi kwa akili yako wewe unaona Tanzania zipo Ngege hadi F-16 ila nape kakataza watu wasizungumzie! bul-shait

Helicopter ya Jeshi letu umeiona?
Sio kweli. Tuna marubani waliopita shule vizuri. Na ndege pia. Hata ma civil pilots wanajiunga na jeshi ili kupata masaa ya kuruka.
 
nimeupenda uchambuzi wako, japokuwa umejaa vijembe. thanks.

ha ha ha mkuu to be honesty hawawezi sema wanandege aina gani na kiasi gani huwaga inakuwa ni siri na pia unaponunua vifaa vya kivita kuna kitu kinaitwa "military balance" kati yako na majirani zako.military balance huwa inapangwa na wakubwa(usa,uk,russia,china,nk..)ndio maana huwezi kukuta mmarekani kamuuzia mkenya zile ndege kali za kivita mfano F 22 RAPTOR,F35,B52 NK vivyo hivyo kwa mrusi kuuza kwetu Mig 35,sukhoi 35,TU 160 supersonic bomber,mchina na wengine pia au hata RADAR za kisasa,vifaru na vifaa vingine vya kisasa hawataki kutubua military balance ya eneo kuepuka mashindano ya silaha ndio maana nchi za kiarabu(iran,syria nk) zinauziwa silaha kali za kivita na mrusi ili ku counter silaha ambazo mmarekani anauza kwa israel kuleta military balance of power ,the same kwa ukanda wa asia kati ya india na pakstani , then china,korea kaskazin vs japan,korea kusini na taiwan leo hii dictator museveni au kagame wawe na hayo madege yasiyoonekana kwenye radar tutapona na radar yetu ya akina CHENGE inayoishia chalinze,wawe na mabalistic missiles wawe na air defence system kama s400 siku kichaa kikiwapanda tutakwisha huku .
The same kwetu huku na wanasiasa wetu vilaza kama akina nape,mwigulu sijui membe,na wengine vilaza you name them siku washike madaraka nyeti wanaweza tumia hizo silaha kupigia ukawa au hata sehem yoyote ilimradi washinde uchaguzi so mkuu hivyo videge unavyovionaga vinapitapita kipindi cha sherehe vinatutosha kutokana na akili zetu zilivyo wazungu wanaakili sana mkuu sio kama sisi mambururaView attachment 217607View attachment 217608View attachment 217609View attachment 217610View attachment 217612View attachment 217614View attachment 217616View attachment 217617View attachment 217621View attachment 217622View attachment 217622View attachment 217623View attachment 217630View attachment 217629View attachment 217632View attachment 217634View attachment 217636View attachment 217622View attachment 217638View attachment 217640
 
Sun Tzu said
All warfare is based on deception. Hence, when we are able to attack, we must seem unable; when using our forces, we must appear inactive; when we are near, we must make the enemy believe we are far away; when far away, we must make him believe we are near.

WAR IS DECEPTION.

Wenzetu wanaonyesha vifaa vyao kwasababu wana kitu wanakiita "Military Industrial Complex".Yani biashara ya kuuza silaha.Sasa ili wauze silaha za kutosha na wapate faida inabidi wazitangaze kwa kutengenzea Hollywood Movies na kuzipiga mapicha

Lakini silaha zao ambazo hawaziuzi na wanazitumia ipasavyo kwa vita hata siku moja hutokuja kuziona mtandaoni.

Tz haina "Military Industrial Complex".Haina haja ya kujitangaza silaha zao wikipedia na kwingine mitandaoni.Jeshi linatumia falsafa ya Sun Tzu kama quote ya hapo juu inavyojieleza
 
hahaaa unalo ndugu! unadhani jeshi ni jinga lianike sihala nje nje kama machinga wa kariakoo anavyo anika kandambili?...Marekani wanaonyesha baadhi ya silaha kwa biashara na kutishia nchi zngine...ujue kuna teknolojia na vifaa ambavyo jeshi la nchi yeyote hawawezi ku-expose kwenye public...Hata hizo rank za kijeshi unazozisikia wanaangalia ukubwa wa jeshi, mission za kijeshi zilizofanikishwa na jeshi husika, watz wamehusika vita ya uganda, Lebanon, Congo, Sudan na ile mission ya Madagascar!sasa unataka kulinganisha na muisrael anapigana vita kila siku....? ulishawahi kusikia. bajeti ya kijeshi? ushawahi kuona wameleta vifaa ukaona vinatangazwa magazetini au kwenye TVs?

Unachoonaga uwanja wa taifa wakati wa sherehe za Uhuru ujue ni kitu kidogo sana..!

Ishu za kijeshi ni siri and hutokaa usikie wana hili na lile...miaka 1000!

Na information wanazo-release Google na Wikipedia sio sahihi kama mambo yalivo...kuna vitu kibao vimefichwa!

sasa wewe ukimiliki kibastola chako katangaze mtaa kwenu!...think beyond!!!
 
Tanzania inaongozwa na wale wale
 
Last edited by a moderator:

Pole sana kwa uoga ulionao moyoni na maishani mwako...

Silaha zote Duniani zinafahamika zile bora na zisizo bora.... na pia katika makampuni ya kutengeneza Silaha yanafahamika na silaha kali duniani huwa zinakuwa na wadhamini ambazo ni most of the time ni nchi husika zenye mamlaka kamili na hii huwa ni official.... na si kienyeji kama unavyoodhania wewe....

Silaha hutolewa order kwa mnunuzi ambaye ni nchi na hizo silaha zikishakuwa tayari kwa matumizi nchi husika most of the time huwa anakuwa ameshamaliza malipo yote au kubakiza kiasi.... records huwa zishawekwa kuwa Tanania kauziwa S-400 moja au kumi,Sudan Syria au nchi husika na si kwa Magaidi ambazo ndio huwa siri kuu na siyo nchi husika... haya mambo huwa yapo wazi ndio maana data zinapatikana kwa uwazi... Utasikia Egypt ana silaha kali na ndege F-16 zaidi ya Arobaini hii ipo wazi na ndio maana alisema nchi itakayo taka kuleta zake kuhusu Mto nile ataipiga kivita.... na kiukweli Tanzania hata kama ina silaha za kificho hawawezi kuleta mzozo wa kivita na Misri...

Unaposema siwezi fahamu miaka 1000 ni sawa na wewe nikuite wewe ni mtu unayeishi kwa makisio tu Binadamu hatuwezi fahamu siri za Mungu tu na sio zetu wenyewe.... pole sana kwa kujianika akili zako...

Nchi zote Silaha zake zinaeleweka hata ukiwa na silaha za kibaiolojia utajulikana tu... hakuna siri hapa Duniani... Tanzania sisi tupo down sana...
 
Acha kutegemea wikipedia mkuu. Habari kadhaa kuhusu majeshi huwa hazipatikani huko. Hiyo habari uliyoquote imepitwa na wakati sana!HHatunahaja ya kumwaga mtama kunako kuku Wengi.
 
Sasa hii tuna ndege za kisasa kabisa ziendazo kasi. JK amenunua dhana mpya nyingine kwa nchi za afrika ni TZ tu wanazo. Tuna silaha za kisasa toka China, Urusi na Marekani . Acha kudharau jeshi letu liko vizuri sana

Aisee kama ndo kanunua dhana (concept) tu mpaka sasa kwa hiyo bado hajanunua zana halisi.. na bila shaka hiyo dhana itakua kanunua kwa bei kubwa sana (maana imenunuliwa china, urusi na marekani) i can imagine zana zenyewe zitacost sh. ngapi
 
Pole sana kwa uoga ulionao moyoni na maishani mwako...

Silaha zote Duniani zinafahamika zile bora na zisizo bora.... na pia katika makampuni ya kutengeneza Silaha yanafahamika na silaha kali duniani huwa zinakuwa na wadhamini ambazo ni most of the time ni nchi husika zenye mamlaka kamili na hii huwa ni official.... na si kienyeji kama unavyoodhania wewe....

Silaha hutolewa order kwa mnunuzi ambaye ni nchi na hizo silaha zikishakuwa tayari kwa matumizi nchi husika most of the time huwa anakuwa ameshamaliza malipo yote au kubakiza kiasi.... records huwa zishawekwa kuwa Tanania kauziwa S-400 moja au kumi,Sudan Syria au nchi husika na si kwa Magaidi ambazo ndio huwa siri kuu na siyo nchi husika... haya mambo huwa yapo wazi ndio maana data zinapatikana kwa uwazi... Utasikia Egypt ana silaha kali na ndege F-16 zaidi ya Arobaini hii ipo wazi na ndio maana alisema nchi itakayo taka kuleta zake kuhusu Mto nile ataipiga kivita.... na kiukweli Tanzania hata kama ina silaha za kificho hawawezi kuleta mzozo wa kivita na Misri...

Unaposema siwezi fahamu miaka 1000 ni sawa na wewe nikuite wewe ni mtu unayeishi kwa makisio tu Binadamu hatuwezi fahamu siri za Mungu tu na sio zetu wenyewe.... pole sana kwa kujianika akili zako...

Nchi zote Silaha zake zinaeleweka hata ukiwa na silaha za kibaiolojia utajulikana tu... hakuna siri hapa Duniani... Tanzania sisi tupo down sana...
mkuu unachosema ni kweli kabisa... sina hakika na data za mleta mada kuhusu tz.. ila siku hizi kujua idadi ya silaha kwa mataifa sio siri. hiki kinachoitwa intelejensia tunachoambiwa ni uwizi tu kutaka kutishia watu ili wasihoji dili zao (kumbuka kashfa za deep green) kwa mfano inajulikana kuwa urusi ina tank (vifaru) elfu mbili zaidi ya marekani na ndo inayoongoza kuwa na tanks nyingi duniani... Marekani ina aircraft carrier 19.. wakati nchi nyingi zina angalau moja moja. rusia labda inayo 2 au 3...nk

msijipe moyo kiivo... vitu vingine viko wazi tu kwa mfano kama tungekuwa na meli za kivita si tungeziona zikiwa baharini au nazo zimefichwa kwenye kambi za kijeshi...
 
Back
Top Bottom