Ndege za Jeshi la Tanzania zilizobakia

Kumbe hao ndio wanao nilidbani na wewe unao ushahidi uwahi Mahakamani.
 

Sawa kabisa mama mdogo
 
Miaka 50ya uhuru ni michache sana , hao tunaojilinganisha nao wanajitawala kwa miaka 3000!
Malaysia ilipata uhuru 1957 na Singapore 1959, lakini kiwango chao cha maendeleo wanatuzidi karibu miaka mingine sawa na umri wa uhuru wetu. Hata hilo halikushangazi?
 
Siri za jeshi letu watafutia nini?hatuhitaji hizo.tunahitaji vitambulisho vya kupiga kura tuu.saa ya ukiombozi ni sasa.tuing'oe na tuwang'oe magamba.
 

Kawaulize m23 habari yetu.
 
Malaysia ilipata uhuru 1957 na Singapore 1959, lakini kiwango chao cha maendeleo wanatuzidi karibu miaka mingine sawa na umri wa uhuru wetu. Hata hilo halikushangazi?

Wewe huna maendeleo yako binafsi. kula kulala mboga saba
 
Hivi unajua kuwa ulichokifanya ni kazi ya kigaidi?

acha ujinga mi data iko google kila mtu anajionea! infact google tena imetupendelea iyo midege ya mig 21 ya kirus mingi sasa hivi haiko operational, cocpit zimeajaa majani labda moja au 2 ndio bado ziko operational.

kwa sasa tuna chinese copy zake izo f7 ndio ziko active!
 
Sasa wewe njoo utuchokoze ndio utakapojua ndege zitatoka wapi na hizi ulizopiga picha haitopaa hata moja
 

Nimekufuatilia uchangiaji wako nadhan wewe ndiye mnyarwanda uliyekuwa umetumwa na kagame kuichunguza nchi yetu na sasa unaendelea na uchunguzi wako hapa.watanzania linapokuja suala LA usalama wa nchi yetu hatuna itikadi.kwa upumbavu wako unataka watu watoe sina ya silaha tulizo nazo ili iweje.unajua maana ya usalama wewe?kwa jeshi letu liweke maonyesho ya silaha zetu zote tutakuwa na akili kweli.upumbavu si kitu hamia ujinga ujifunze.
 

Hivi Kwa akili yako unachofahamu kuwa Adui yako ni Kagame? pole Sana .... Adui yako ni Ujinga na Umsikini... Muache Kagame asiyekukosea Kitu zaidi ya Kuingilia Utawala wake... Wananchi wake ndio wanawez a sema kama Nhafai au anafaa n Kagame jina lake ni Kubwa na Ugomvi wa Bwana Mipasho Jk na Kagame sio wa Watanzania na Wanyarwanda ule ni ugomvi wao binafsi... na kwa Akili Kagame ana akili zaidi na si Mwizi kama huyu wetu na katika uongozi Kagame yupo Juu na ubora wake wa kwetu ni Dhaifu...

Wewe hata utetee vipi nchi hii ipo down sana kimaendeleo na tupo nyuma sana kiulinzi yaani tupo nyuma sana kiusalama...Full Stop
 
Kawaulize m23 habari yetu.

Unaweza kuzitaja Silaha kubwa za Hao M23 hadi ufananishe na Jeshi la Tanzania? ni sawa kufananisha Jeshi Kubwa la Egypt lenye Silaha za Kisasa zinazojulikana kwa sababu zipo na Jeshi la Tanzania Lenye silaha kuu kuu za kizamani tena zingine hazifanyi kazi tena na zingine zimesha expire zinalipuka zenyewe kwenye Maghala na hawana za kuonesha sababu hawana kitu ila kwenye Madaftari pesa nyingi zimetumika kununua silaha hewa kama kawaida ya Watanzania wote wizarani... Tatizo hamtaki kuukubali ukweli mnabakia Ushabiki ikitokea vita mmekwisha... na nyie ndio mtakuwa wa kwanza kukimbia sababu mnajua hamna ulinzi wa silaha zenye nguvu... mnabaki na mizinga yenye uwezo wa kuruka Kilometa kumi tu... na Ndege za Kivita za kale za Russia na China za Kukodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…