Ndege za kivita za IDF zatanda anga la mji Mkuu wa Lebanon Beirut, taharuki kubwa yatanda

Lakini siipati picha. Kwani hao Hezbollah wako likizo? au na wao waliingiwa na kiwewe kwa sauti ya hizo ndege na wakajiunga na waliokuwa wanashangaa na kinachoendelea na kutimua mbio na makanzu yao? Si walisema eti hakuna nzi atakayekatiza katika anga lao? Sasa imekuwaje hapo.
Hawakutegemea; hiyo ni surprise. From nowhere madege ya kivita yametanda mji mzima bila resistance means mko "uchi".

Kwa vurugu hizo kuna mimba za kutosha zitaporomoka hapo Beirut isichukuliwe poa. Ni mbaya sana.
 
Kuithibitishia Hezibollah kuwa wanaweza kupenya anga yao na kushambulia bila kizuizu cho chote!
 
Hawakutegemea; hiyo ni surprise. From nowhere madege ya kivita yametanda mji mzima bila resistance means mko "uchi".

Kwa vurugu hizo kuna mimba za kutosha zitaporomoka hapo Beirut isichukuliwe poa. Ni mbaya sana.
Mmmmh! Si wako vitani dhidi ya IDF lakini?au wamesahau? Halafu inashangaza huku ni vita inaendelea lakini wengine wanaendelea kudinyana hadi mimba zinapatikana. Ndo mana huyo mungu wao allah alijua udhaifu wao huo na akaona njia nyepesi ya kuwapata kirahisi ni kuwaahidi mabikra 72 na mito ya pombe.
 
Hizi taarifa mmezitoa wapi? Wekeni link 🔗
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa za muda huu ndege za kijeshi za Israel limetanda na kuzunguka kwa Kasi ya kimbunga juu ya anga la Beirut ambayo ni mjii Mkuu wa Lebanon.

Ndege hizo zimezusha taharuki kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo huku wakihofia maisha yao na pia kwa sababu ya kelele kubwa za kutisha.

Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon asubuhi, hofu yatanda kwa magaidi ya Hezbollah

Kwa mujibu wa mashuhuda hakuna shambulizi lolote lililofanywa na ndege hizo hadi muda huu. Bado hajulikani kama IDF wanafanya mazoezi au wanapiga mkwala au wanasaka magaidi

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Israeli fighter jets said to be causing sonic booms over Beirut​

By Emanuel Fabian
Follow
Today, 5:43 pm 2
Israeli fighter jets are reportedly flying over the Lebanese capital of Beirut, causing sonic booms.
There is no immediate comment from the IDF.

In recent weeks, there have been several reports of Israeli fighter jets flying over Beirut.

Times of Israel

Nafiseh Kohnavard
@nafisehkBBC
·
Follow
Breaking

Loud sonic booms heard in Beirut. I see jets overhead above Achrafieh which is mostly a Christian area and is considered “safe”

Video by me
IDF wana-simulate ile habari ya "wakoma" kuvamia kambi ya Washami.
 
Hizo issues za simulations wengi hawajazistukia. Hindustan nao wameweka live simulation kkuwa Tel Abiv ipo under attack, huwezi kuamini wasrabu wamebanana huko wanashangilia kichizi wengine wakirusha makobazi wakijua lile ni tukio live kumbe ni simulation tu
 
Akina Kosugi wanashangilia Hezibolla kupiga na kusambaza picha za kambi za IDF! Wanajua kuna vitu kama honey pots and the like?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa za muda huu ndege za kijeshi za Israel limetanda na kuzunguka kwa Kasi ya kimbunga juu ya anga la Beirut ambayo ni mjii Mkuu wa Lebanon.

Ndege hizo zimezusha taharuki kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo huku wakihofia maisha yao na pia kwa sababu ya kelele kubwa za kutisha.

Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon asubuhi, hofu yatanda kwa magaidi ya Hezbollah

Kwa mujibu wa mashuhuda hakuna shambulizi lolote lililofanywa na ndege hizo hadi muda huu. Bado hajulikani kama IDF wanafanya mazoezi au wanapiga mkwala au wanasaka magaidi

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Israeli fighter jets said to be causing sonic booms over Beirut​

By Emanuel Fabian
Follow
Today, 5:43 pm 2
Israeli fighter jets are reportedly flying over the Lebanese capital of Beirut, causing sonic booms.
There is no immediate comment from the IDF.

In recent weeks, there have been several reports of Israeli fighter jets flying over Beirut.

Times of Israel

Nafiseh Kohnavard
@nafisehkBBC
·
Follow
Breaking

Loud sonic booms heard in Beirut. I see jets overhead above Achrafieh which is mostly a Christian area and is considered “safe”

Video by me
Ngojea Hizbollah ajibu halafu muanze kulalama.
2006 IDF walianza hivi hivi,at the end wanajua kilichowakuta.
 
Mijitu haisikii, na hii dunia tungeishi kwa tabu sana kama wababe hawa (US na ISARAEL) Wasingekuwepo!!
Kweli kabisa. Hawa kobazi wangetunyanyasa sana wakiamini wakikuua ww kafir wanapata thawabu ila wakifa wao wanapata tuzo yeya thamani kubwa - mabikra 72 na mito ya pombe. Ila napo hapo hawajaweza kujua kama waweza kuvibadilisha vitu hivyo huko huko viwe katika mfumo wa pesa.
 
Back
Top Bottom