Hata njee nchi, kikubwa yapewe kipaumbele barabarani kama ambulance ikipita basi wote waweke mikweche yao pembeni.
If possible, yesSo watu waende marekani na bus?
It Depends , Hakuna kauli ya Moja kwa Moja kwamba Litaisha Lini, Linaweza Chukua Wiki kadhaa! Hadi Mwezi, Si Unajua Mambo ya Baharini Mzee, Inategemea na Hali ya Hewa PiaKwani tatizo wamesema litaisha lini?
😂Wanunue magari, wangepanda magari badala ya ndege. Ni mda sahihi kwa Air Tanzania kuanza kumiliki magari kwa ajili ya emergency kama hizi.
Mazombi makubwa sana. Anaupiga mwingi TU!Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia manual system kuendelea na kazi).
NB: Waandishi wa habari TZ hutawasikia wanaandika hili. Wao ni mwendo wa kusifia kama mazombi.
Mkuu Tanzania haina waandishi wa habari. kitaka kuona utofauti, soma habari za Kenya. Tanzania kuna waganga njaa wanaokula njama na waganga wa kienyeji, wanasiasa na matapeli wa kila aina ili kuingiza fedha.Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia manual system kuendelea na kazi).
NB: Waandishi wa habari TZ hutawasikia wanaandika hili. Wao ni mwendo wa kusifia kama mazombi.