Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet

Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia manual system kuendelea na kazi).

NB: Waandishi wa habari TZ hutawasikia wanaandika hili. Wao ni mwendo wa kusifia kama mazombi.
Mazombi makubwa sana. Anaupiga mwingi TU!
 
Mkuu Tanzania haina waandishi wa habari. kitaka kuona utofauti, soma habari za Kenya. Tanzania kuna waganga njaa wanaokula njama na waganga wa kienyeji, wanasiasa na matapeli wa kila aina ili kuingiza fedha.
 
Back
Top Bottom