Ndege zilizotengenezwa Tanzania, zinauzwa milioni 500, Kwa bei hii wewe tu 'Upae au daladala'

Mbona hamuonyeshi zikiruka na kutua huenda watu wanaogopa kununua zikaishia maegesho
 


Ndege zao zinapakia watu wangapi
 
Kavisti tu majirani wanakuroga hii ndege si ndio jeneza lako litakuwa kwa jinsi watakavyo zidi kukuroga🀣🀣
 
Acheni kudanganya umma. Zinatengenezwa au kuundwa Tanzania? Nazo hizo ni ndege au tiara tu?
 
Hizo ni glider zenye engine, ikiwekewa engine inaitwa motor glider, hakuna ndege hapo, kuna glider hazina engine zinaruka na mabawa pekee, na inaweza beba hadi watu wawili au mmoja na inaruka.



Wenyewe wanazichukua na kuongeza engine.






Tanzania hawana uwezo tengeneza ndege, hio ni glider iliyochangamka, na hizi glider zipo hadi zinatengenezwa na karatasi.
 
Ndege hazijawahi kuwa bei chee haijalishi zimetengenezwa wapi
 
Kwa wengine Bado ni ghali tuu hata mkate ni bei!
 
HiI zinawafaaa wabunge na mawaziri
 
Hii inaonesha elimu ya watanzania ni zero maana wameshindwa kutofautisha kati ya kutengenezea na kuunganisha vipande vilivyotengenezwa tayari
Si kweli, ingawa hatupo vizuri sana lakin ni mwanzo mzuri.

Angalia components za ndege mpya za China, C909, 919 na 929, alafu useme wametengeneza ama wameunganisha!

Hata makampuni makubwa kama Boeing na Airbus, hawatengenezi kila kitu wenyewe, engine zao tu karibu zote ni RR, achia components nyingine.
 
Mbongo ni mbongo tu. Hajui kujua wapi pakutia moyo na wap pakukosoa. Anaweza sifia miguu kuosha vyombo na kuiilaani ikitembea. Kifup hatueleweki tunataka nini
Bongo nyoso.

Mesoma comment
 
Badala tukisapoti hiko kiwanda cha ndege ili kizidi kukua ndo kwanza watu wanakikosoa kwakuwa kimetengrnezwa na mtanzania mwenzetu. Tupende vya kwetu.
 
Ili wafe kwa mkupuo πŸ₯ΉπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Tunaomba kwa heshima na taadhima wabunge wetu wote kwa mara ya kwanza watufungulie safari km walivyofanya kwenye SGR..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…