Jeff z wina
New Member
- Dec 22, 2024
- 3
- 2
Na hii ndo shida iliyokwenye vichwa vyetu tunabrand vya wenzetu ty ila vyetu ni mwendo wa kuviponda sasa mnataka tuanzie wap kama tunashindwa kupenda vidogo kama hivi...duh ama kwel kazi ipoJiulize swali
Imetengenezwa Tanzania na mtanzania mweusi?
Vifaa vyake kama engine, vipima altitude na speed vimetengenezwa Tanzania?
Hiyo sawa sawa tu na pikipiki za mchina zinazo kuwa assembled Tanzania.