Ndege zilizotengenezwa Tanzania, zinauzwa milioni 500, Kwa bei hii wewe tu 'Upae au daladala'

Ndege zilizotengenezwa Tanzania, zinauzwa milioni 500, Kwa bei hii wewe tu 'Upae au daladala'

Jiulize swali
Imetengenezwa Tanzania na mtanzania mweusi?
Vifaa vyake kama engine, vipima altitude na speed vimetengenezwa Tanzania?
Hiyo sawa sawa tu na pikipiki za mchina zinazo kuwa assembled Tanzania.
Na hii ndo shida iliyokwenye vichwa vyetu tunabrand vya wenzetu ty ila vyetu ni mwendo wa kuviponda sasa mnataka tuanzie wap kama tunashindwa kupenda vidogo kama hivi...duh ama kwel kazi ipo
 
Na hii ndo shida iliyokwenye vichwa vyetu tunabrand vya wenzetu ty ila vyetu ni mwendo wa kuviponda sasa mnataka tuanzie wap kama tunashindwa kupenda vidogo kama hivi...duh ama kwel kazi ipo
Mimi nimempa maelezo haya ili aondoe shaka juu ya usalama wa hizi ndege kwa kuhofia viwango duni vya hizo ndege.
Mbona wanapanda pikipiki zinazo kuwa assembled Tanzania?
 
Back
Top Bottom