Ndege zisizo na rubani za Ukraine zashambulia meli za Urusi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Meli za Urusi zimeshambuliwa na ndege zisizon na rubani (drone) katika Bandari ya Crimea iliyopo Sebastopol, leo Julai 31, 2022 na kujeruhi watu watano.

Wakazi wote wa eneo hilo wamepewa angalizo la kuwa makini na kutakiwa kubaki ndani kwa sababu za kiusalama.

Huo ni mwendelezo wa vikosi vya Ukraine kujibu mapigo katika vita inayoendelea ambapo wiki iliyopita walifanikiwa kuharibu daraja katika Mji wa Kherson ambao upo chini ya vikosi vya Urusi.

================================

Ukrainian drone attack on Russian fleet HQ

A drone attack on the Russian fleet in the Crimean port of Sebastopol on Sunday wounded five people, the Russian-annexed city’s mayor Mikhail Razvozhayev said.

“This morning, Ukrainian nationalists decided to spoil the Day of the Russian Fleet” being celebrated on Sunday, he said on Telegram, adding that five people, including employees of the army staff, had been wounded.

All festivities had been “canceled for security reasons”, he said, asking residents of the city to remain indoors “if possible”.

Huge celebrations are due to take place in Russia, including a naval parade in Saint Petersburg that will be attended by President Vladimir Putin.

Ukrainian forces have in recent weeks retaken territory seized by Russian forces since their February 24 invasion.

On Wednesday, Ukrainian strikes partially destroyed a major bridge in the city of Kherson, occupied by Russian forces.

Source: Kyivpost
 
Russia warudi tu nyumbani wameshindwa kutimiza malengo waliyojiwekea ya kuiteka Ukraine ndani ya siku tatu na badala yake kuingia katika vita visivyo na mwisho (War of Attrition).

Huko Russia kwenyewe tayari wameshaanza kuandikisha vijana wasio na ajira ili wapewe mafunzo ya haraka ili wapelekwe Ukraine na wanaambiwa kwamba kila mwezi watakuwa wanalipwa sawa na USD 5,000 na eti ukifa familia yako italipwa USD 50,000..!!

Mbona tunaambiwa kwamba Russia wana wanajeshi kwenye 800,000 hivi.! Hizi takwimu za majeshi inaonekana kila nchi waga hawasemi ukweli kwani ni za kubumba sana.

Inaonekana hapa duniani hakuna nchi yoyote yenye idadi kubwa hivyo ya majeshi kwani wakati hakuna vita watakuwa wanafanya kazi gani ndio maana Russia sasa hivi wanafanya tena recruitment.
 
Heading yako na kilichoandikwa ndani mbona ni tofauti? ni Meli ama Majengo?
 
Urusi hakuridhika na Crimea ,akaona aichukue Ukraine mzima,Cha ajabu kabla ajataka kuichukua Ukraine nzima hiyo Crimea haikuwai kushambuliwa, ukisikia mtaka yote kwa pupa hukosa yote ndo hii sasa
 
Russia warudi tu nyumbani wameshindwa kutimiza malengo waliyojiwekea ya kuiteka Ukraine ndani ya siku tatu na badala yake kuingia katika vita visivyo na mwisho (War of Attrition).

Huko Russia kwenyewe tayari wameshaanza kuandikisha vijana wasio na ajira ili wapewe mafunzo ya haraka ili wapelekwe Ukraine na wanaambiwa kwamba kila mwezi watakuwa wanalipwa sawa na USD 5,000 na eti ukifa familia yako italipwa USD 50,000..!!

Mbona tunaambiwa kwamba Russia wana wanajeshi kwenye 800,000 hivi.! Hizi takwimu za majeshi inaonekana kila nchi waga hawasemi ukweli kwani ni za kubumba sana.

Inaonekana hapa duniani hakuna nchi yoyote yenye idadi kubwa hivyo ya majeshi kwani wakati hakuna vita watakuwa wanafanya kazi gani ndio maana Russia sasa hivi wanafanya tena recruitment.
Usisahau wanatumia na lile jeshi la kukodi la wagner group pamoja na wanajeshi wa DPR na LPR kama wenyewe wanavyoita ambayo ni majimbo kutoka ukraine.

Mkuu wanaweza kuwa na hiyo idadi isipokuwa lazima u maintain idadi ya wanajeshi katika kazi zingine na huwezi kupeleka wote front line. Bottom line ni kwamba wanajeshi wa Putin wamekufa wengi huko Ukraine number inaonesha ni zaidi ya wanajeshi waliokufa wa marekani kwa miaka 20 ya vita ya Afghanistan.

Putin is killing his own people kwenye useless war ambayo angeweza kuiepuka na mpaka sasa mambo yanazidi kuwa magumu Ukraine akikamata Kherson na hapo crimea mambo yatakuwa tofauti kabisa.
 
Umeongea point sana ndugu kwa dunia ya leo ustaarabu umekua sana silaha zimebaki kama defence mechanism. Russia anaua raia wake mwenyewe huku akileta hasara kubwa kwenye maisha ya watu wa ukraine, kizazi cha vijana kinateketea ukraine kwenye Huu ujinga. Anaeshabikia hii vita ni kilaza ya mwisho na nimegundua nchi yetu imejaza vilaza wengi sana
 
Waulize wa Kiwalani Kwa Limboa; kosa la Ukraine ni lipi? Uone kama utapata majibu ya maana zaidi ya ushabiki wa kijinga.
 
Hivi si tuliambiwa Urusi wana laser weapons zinaunguza drones zikiwa angani imekuaje tena mpaka drones zinaingia sehemu nyeti kama makao makuu ya black sea fleet na kufanya mashambulizi?!
 
Back
Top Bottom