Ndege zisizo na rubani za Ukraine zashambulia meli za Urusi

Russia warudi tu nyumbani wameshindwa kutimiza malengo waliyojiwekea ya kuiteka Ukraine ndani ya siku tatu na badala yake kuingia katika vita visivyo na mwisho (War of Attrition).

Huko Russia kwenyewe tayari wameshaanza kuandikisha vijana wasio na ajira ili wapewe mafunzo ya haraka ili wapelekwe Ukraine na wanaambiwa kwamba kila mwezi watakuwa wanalipwa sawa na USD 5,000 na eti ukifa familia yako italipwa USD 50,000..!!

Mbona tunaambiwa kwamba Russia wana wanajeshi kwenye 800,000 hivi.! Hizi takwimu za majeshi inaonekana kila nchi waga hawasemi ukweli kwani ni za kubumba sana.

Inaonekana hapa duniani hakuna nchi yoyote yenye idadi kubwa hivyo ya majeshi kwani wakati hakuna vita watakuwa wanafanya kazi gani ndio maana Russia sasa hivi wanafanya tena recruitment.
Russia hakuwahi kusema ana wanajeshi wangapi, nchi nyingi sana duniani huwa hazitaji idadi ya wanajeshi. Watataja vifaru, ndege, meli ila sio idadi ya combatants. Possibility ya Russia kuwa na wanajeshi 800,000 siipingi kwa kuwa wana landmass kubwa inahitaji walinzi wengi. Changamoto ni kwamba wale recruits wa muda yawezekana nao huesabika kama wanajeshi wakati sio.

Na haiwezekani Russia ikafanya mobilization ya wanajeshi wote kwa sababu kisiasa hii sio vita, kwao kule wanaita operation. Vita hutangazwa na Commander in Chief kwa declaration ila Putin anaogopa consequences za kutangaza vita. Kihistoria mabadiliko ya kisiasa Urusi hutokea baada ya vita fulani kuisha, Putin hataki hivyo na anakwepa lawama fulani.

Putin hapendi kukuza sifa za makamanda wake kijeshi ndio maana hata operation hii ilianza ikiwa haijulikani General gani anaongoza mpaka pale failures zilipoonekana ndipo ikaundwa kama central command, central command ingekuwepo mapema alafu Ukraine ikaanguka mapema vile basi makamanda wachache hapo wangesifiwa sana wakati sanctions zinakuja haijulikani zitaleta mgogoro gani nchini. Mfano, after WW2 yule Georgy Zukhov alikuwa tishio kwa utawala wa Stalin ambaye pamoja na kuwaua watu wenye sifa nchini kwake alishindwa kumpoteza Zukhov jeshi lisimuasi. Russia huwa haipati mtu mwenye sifa akadumu
 
Yaani upate sifa zaidi ya dikteta udumu? Weee! Haipo hiyo; hayo majitu husifiwa zaidi ya Mungu kwenye himaya zao na huvimba kweli kweli yakijiaminisha ni zaidi ya muumba mbingu na ardhi!
 
Heri madikteta kuliko mashoga alafu Putin sio dikteta
 
Humu mnaandika kwa kujifariji tu....yaani drone kupiga open compound..ndo imekua issue....Hivi siku kombora likitua Kremlin pale watu si mtasherekea kabisa....
 
Huwa nawasomaga humu naishia kucheka tu. Jukumu #1 la kiongozi Mkuu wa nchi ni ulinzi wa ardhi na mipaka ya nchi.

Na katiba za nchi kama sio zote nyingi hazitoi provision ya ku-surrender vitani. Hata ya Tanzania haimpi nafasi Amiri Jeshi Mkuu ku-surrender nchi kwa namna yoyote ile sembuse Ukraine inayolisha dunia kwa ngano na nafaka nyinginezo!
Fikiria unakuwa na Taifa lenye vijana wana mawazo ya kipuuzi namna hiyo leo na kesho anakuwa kiongozi si mapema tu ana comply na mwenye nguvu bila resistance yoyote?

Hata katika family level anaweza kumuuza mkewe kwa aggressor mmoja ili asipate tabu. Upuuzi kabisa
 
Putin hayuko makini kama enzi za Soviet. Anaweza kupigwa katika conventional warfare na nchi kama Sweden .Utapeli utaua Russia,China anamsubiri akose direction aweze kuchukua ardhi yake Mashariki
 
Back
Top Bottom