yanarudi saiv urussi anakimbizwa balaaHivi Majimbo yaliyochukuliwa na Russia wameisha yarudisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanarudi saiv urussi anakimbizwa balaaHivi Majimbo yaliyochukuliwa na Russia wameisha yarudisha
Hakuna mtu timamu anae support ujinga wa kuvamia taifa jingine kama zama hizi. Ni wapuuzi wachache tu tena wengine wanathubutu kusema Zelensky angekubaliana na Putin.Umeongea point sana ndugu kwa dunia ya leo ustaarabu umekua sana silaha zimebaki kama defence mechanism. Russia anaua raia wake mwenyewe huku akileta hasara kubwa kwenye maisha ya watu wa ukraine, kizazi cha vijana kinateketea ukraine kwenye Huu ujinga. Anaeshabikia hii vita ni kilaza ya mwisho na nimegundua nchi yetu imejaza vilaza wengi sana
Na huu ni mwanzo tu, maeneo yote yalotekwa yatakombolewa, mpaka Crimea ipo siku moto utawaka pale.Hali ni tete kwa vikosi vya mstari wa mbele vya Urusi hapo Kharson
Kharkiv ilishakombolewa kitambo tu.Hivi Majimbo yaliyochukuliwa na Russia wameisha yarudisha
Hahahahaha ee walisema hivi aiseee, wakasema wanatumia pia na Laser weapons kuangusha hizo drones.Walisema Urusi wanayeyusha drones kwa bunduki maalum zokiwa huko huko angani kabla hazijaleta madhara. Vipi tena.
Na kwa upepo uliokuwepo, hakuna kijana atakubali kujiunga na Jeshi hilo. Hali ni tete kwa vikosi vya Russia. Sasa hivi havishambulii kama zamani ila vinadefence zaidi.Russia warudi tu nyumbani wameshindwa kutimiza malengo waliyojiwekea ya kuiteka Ukraine ndani ya siku tatu na badala yake kuingia katika vita visivyo na mwisho (War of Attrition).
Huko Russia kwenyewe tayari wameshaanza kuandikisha vijana wasio na ajira ili wapewe mafunzo ya haraka ili wapelekwe Ukraine na wanaambiwa kwamba kila mwezi watakuwa wanalipwa sawa na USD 5,000 na eti ukifa familia yako italipwa USD 50,000..!!
Mbona tunaambiwa kwamba Russia wana wanajeshi kwenye 800,000 hivi.! Hizi takwimu za majeshi inaonekana kila nchi waga hawasemi ukweli kwani ni za kubumba sana.
Inaonekana hapa duniani hakuna nchi yoyote yenye idadi kubwa hivyo ya majeshi kwani wakati hakuna vita watakuwa wanafanya kazi gani ndio maana Russia sasa hivi wanafanya tena recruitment.
Huko Kherson moto unawaka, ndani ya wiki kadhaa kuanzia sasa Ukraine inaukomboa mji wao.Warusi wamekimbiza meli zao kwenye bahari nyeusi karibu na crimea na kuzisogeza Urusi. Hayo maneno ya warusi wa buza usiyatilie maanani sana mkuu.
Akiikomboa totally kherson, wanajeshi wake hawawezi kuwa na morali. Kwa sasa ukraine ina morali sababu imeona kuwa wapo karibu kuikomboa Kherson. Na wakifanikiwa hapo tu, wataamini hata huko kwingine watafanikiwa pia.Usisahau wanatumia na lile jeshi la kukodi la wagner group pamoja na wanajeshi wa DPR na LPR kama wenyewe wanavyoita ambayo ni majimbo kutoka ukraine.
Mkuu wanaweza kuwa na hiyo idadi isipokuwa lazima u maintain idadi ya wanajeshi katika kazi zingine na huwezi kupeleka wote front line. Bottom line ni kwamba wanajeshi wa Putin wamekufa wengi huko Ukraine number inaonesha ni zaidi ya wanajeshi waliokufa wa marekani kwa miaka 20 ya vita ya Afghanistan.
Putin is killing his own people kwenye useless war ambayo angeweza kuiepuka na mpaka sasa mambo yanazidi kuwa magumu Ukraine akikamata Kherson na hapo crimea mambo yatakuwa tofauti kabisa.
Yaani Ukraine anapiga Kherson, na muda huohuo anapiga Black Sea. Hapo bado US hajamimina kifurushi kingine. US apeleke MLRS za kushambulia kilomita 300, hapo Ukraine atakomboa maeneo yake faster tu.Hivi si tuliambiwa Urusi wana laser weapons zinaunguza drones zikiwa angani imekuaje tena mpaka drones zinaingia sehemu nyeti kama makao makuu ya black sea fleet na kufanya mashambulizi?!
Hizo HIMARS zinaonesha balaa lake sio dogo.yanarudi saiv urussi anakimbizwa balaa
Huwa nawasomaga humu naishia kucheka tu. Jukumu #1 la kiongozi Mkuu wa nchi ni ulinzi wa ardhi na mipaka ya nchi.Hakuna mtu timamu anae support ujinga wa kuvamia taifa jingine kama zama hizi. Ni wapuuzi wachache tu tena wengine wanathubutu kusema Zelensky angekubaliana na Putin.
Supa pawa wanatafutana kuna balaa kuzidi hilo? Usiombe kombora lake lielekezwe uelekeo wenu; hakuna aliyewahi kuchomoka salama.Hizo HIMARS zinaonesha balaa lake sio dogo.
Watawachukua mamluki wa jf Bwana Utam na STRUGGLE MAN .Na kwa upepo uliokuwepo, hakuna kijana atakubali kujiunga na Jeshi hilo. Hali ni tete kwa vikosi vya Russia. Sasa hivi havishambulii kama zamani ila vinadefence zaidi.
[emoji23]Pale ambapo wote mpo ukumbini kwenye mjadala na malumbano ya hoja halafu jamaa upande mmoja unazidiwa unaamua kwenda kwenye kachumba kadogo nakuchukuwa kahoja fulani kujipongeza na kufarijiana. Wadau kumbe mpo huku jamani na mpo peke yenu mnadanganyana na kufarijiana. Kule kwenye Thread kuu mmekimbia
Urusi ni sawasawa na Mandonga tu, maneno mengi utekelezaji sifuri. Tuliambiwa yanaona hata punje ya mtama, kinachoendelea uwanja wa vita ni tofauti kabisa.Meli za Urusi zimeshambuliwa na ndege zisizon na rubani (drone) katika Bandari ya Crimea iliyopo Sebastopol, leo Julai 31, 2022 na kujeruhi watu watano.
Wakazi wote wa eneo hilo wamepewa angalizo la kuwa makini na kutakiwa kubaki ndani kwa sababu za kiusalama.
Huo ni mwendelezo wa vikosi vya Ukraine kujibu mapigo katika vita inayoendelea ambapo wiki iliyopita walifanikiwa kuharibu daraja katika Mji wa Kherson ambao upo chini ya vikosi vya Urusi.
================================
Ukrainian drone attack on Russian fleet HQ
A drone attack on the Russian fleet in the Crimean port of Sebastopol on Sunday wounded five people, the Russian-annexed city’s mayor Mikhail Razvozhayev said.
“This morning, Ukrainian nationalists decided to spoil the Day of the Russian Fleet” being celebrated on Sunday, he said on Telegram, adding that five people, including employees of the army staff, had been wounded.
All festivities had been “canceled for security reasons”, he said, asking residents of the city to remain indoors “if possible”.
Huge celebrations are due to take place in Russia, including a naval parade in Saint Petersburg that will be attended by President Vladimir Putin.
Ukrainian forces have in recent weeks retaken territory seized by Russian forces since their February 24 invasion.
On Wednesday, Ukrainian strikes partially destroyed a major bridge in the city of Kherson, occupied by Russian forces.
Source: Kyivpost
Wamepak basi km Mourinho [emoji41][emoji41][emoji41]Na kwa upepo uliokuwepo, hakuna kijana atakubali kujiunga na Jeshi hilo. Hali ni tete kwa vikosi vya Russia. Sasa hivi havishambulii kama zamani ila vinadefence zaidi.