Ndege zisizo na rubani za Ukraine zashambulia meli za Urusi

Hakuna mtu timamu anae support ujinga wa kuvamia taifa jingine kama zama hizi. Ni wapuuzi wachache tu tena wengine wanathubutu kusema Zelensky angekubaliana na Putin.
 
mmetuitaatimaye nimekuja mrusi kutoka Sochi sasa kushambuliwa meli na drone mbona ni vitu vya kawaida tuleteeni damage zilizopatikana kutokana na shambulio ilo? najua jibu amna anachofanya Ukraine ni sawa na baba kucheza na mwanawe unajua kabisa amna madhara utakayoyapata ndio kinachoendelea apo kherson na crimea sisi tunasonga mbele kwenda kuchukua maeneo mengine yarudisheni kwenye himaya zenu kama mnaweza tuone
 
Na kwa upepo uliokuwepo, hakuna kijana atakubali kujiunga na Jeshi hilo. Hali ni tete kwa vikosi vya Russia. Sasa hivi havishambulii kama zamani ila vinadefence zaidi.
 
Akiikomboa totally kherson, wanajeshi wake hawawezi kuwa na morali. Kwa sasa ukraine ina morali sababu imeona kuwa wapo karibu kuikomboa Kherson. Na wakifanikiwa hapo tu, wataamini hata huko kwingine watafanikiwa pia.
 
Hivi si tuliambiwa Urusi wana laser weapons zinaunguza drones zikiwa angani imekuaje tena mpaka drones zinaingia sehemu nyeti kama makao makuu ya black sea fleet na kufanya mashambulizi?!
Yaani Ukraine anapiga Kherson, na muda huohuo anapiga Black Sea. Hapo bado US hajamimina kifurushi kingine. US apeleke MLRS za kushambulia kilomita 300, hapo Ukraine atakomboa maeneo yake faster tu.
 
Hakuna mtu timamu anae support ujinga wa kuvamia taifa jingine kama zama hizi. Ni wapuuzi wachache tu tena wengine wanathubutu kusema Zelensky angekubaliana na Putin.
Huwa nawasomaga humu naishia kucheka tu. Jukumu #1 la kiongozi Mkuu wa nchi ni ulinzi wa ardhi na mipaka ya nchi.

Na katiba za nchi kama sio zote nyingi hazitoi provision ya ku-surrender vitani. Hata ya Tanzania haimpi nafasi Amiri Jeshi Mkuu ku-surrender nchi kwa namna yoyote ile sembuse Ukraine inayolisha dunia kwa ngano na nafaka nyinginezo!
 
Pale ambapo wote mpo ukumbini kwenye mjadala na malumbano ya hoja halafu jamaa upande mmoja unazidiwa unaamua kwenda kwenye kachumba kadogo nakuchukuwa kahoja fulani kujipongeza na kufarijiana. Wadau kumbe mpo huku jamani na mpo peke yenu mnadanganyana na kufarijiana. Kule kwenye Thread kuu mmekimbia
 
[emoji23]
 
Urusi ni sawasawa na Mandonga tu, maneno mengi utekelezaji sifuri. Tuliambiwa yanaona hata punje ya mtama, kinachoendelea uwanja wa vita ni tofauti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…