Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa mama richad kaachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ngedele hii ngoma ni sumu moja mbay sana
Ninachojiuliza kwanin mavoko hapo awali hakuwahi kutoa ngoma kali kama hii why soo
London boy
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanini mkuu kwani kula had umkubal mavoko au umponde?Mavoko ni anko ako?
#utakula kiburi yako.