Ndegele ngoma mpya ya Rich Mavoko ni sumu moja hatari sana

Ndegele ngoma mpya ya Rich Mavoko ni sumu moja hatari sana

Kawaida sana! pia video ilivyoanza mwanzoni ni kama ana bifu na wasafi
 
beira boy utakuwa ndio mavoko mwenyewe unaipgia promo ngoma yako.
ni nyimbo ya kawaida.sio nzur sana na sio mbaya sana.
 
Rich nakuelewa sana lakini kwa hii ngoma, hapana mzee. Mimi nimeona hivyo.

sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
 


Mtoto wa mama richad kaachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ngedele hii ngoma ni sumu moja mbay sana

Ninachojiuliza kwanin mavoko hapo awali hakuwahi kutoa ngoma kali kama hii why soo

London boy

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hiyo nyimbo na ule alotoa unaitwa "Happy" upi mkali.....kwa upande wangu Happy upo poa zaidi
 
Hii ni bonge moja la ngoma kwa mwaka huu cjawah kuickiliza ngoma kwa cku moja nikaielewa lkn hii ngoma nakiri kuielewa vibaya mno[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] big up toto wa mama Richard GOOD JOB.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vipi amuombe Diamond msamaha tu arudi Madale 😂
 
Back
Top Bottom