Ndemla kupewa gari na kiongozi kutaivuruga timu

Hao wafanyakazi watakuwa punguani sana.
1.mshahara wao nimewalipa sijawalipa?
2. je tulikubaliana kuwa jioni kila mtu nimpe maji ya kunywa?
3. huoni kuwa watakuwa wapumbavu wanataka kunipangia matumizi ya mali zangu?
Vibarua hawatakunya chochote wewe bosi kwakuwa kupewa maji hayakuwa sehemu ya makubaliano ya kazi, lakini watamzulia jambo mwenzao huyo aliyepewa maji from no where, kibaraka wake, kapoteza marinda, ni ndugu yake, ni mgonjwa, ni shemeji yake, ni baba yake wa kambo, n.k. na kamwe hawatakubali kama yeye ndiye aliyelima zaidi kuliko wao.
 
hayo maneno unadhani yatanipa shida gani? kama hawana akili wanaweza kuzua hayo kama wana akili watajitahid kufanya kazi kwa bidii ili kesho na kesho kutwa nao niwape maji. ni upumbavu kumpangia mtu mtu wa kumpa zawadi.ni upuuzi mkubwa. hans pop ana uhuru wa kumpa anybody zawadi na hakuna msomi anayeweza kuhoji.ikiwa ni simba kama club imetoa zawadi ndo watu wnaweza hoji why x. but pia bado mimi sioni haja ya wnaume kuwa na wivu wa kitoto hivyo
 
Zawadi kama hiyo kwa watoto/wachezaji inaweza kutolewa na mtu mwingine lakini sio baba/kiongozi wa familia/club. Tuishie hapo uwezo wako wa kutafakari uko chini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…