kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #101
Vibarua hawatakunya chochote wewe bosi kwakuwa kupewa maji hayakuwa sehemu ya makubaliano ya kazi, lakini watamzulia jambo mwenzao huyo aliyepewa maji from no where, kibaraka wake, kapoteza marinda, ni ndugu yake, ni mgonjwa, ni shemeji yake, ni baba yake wa kambo, n.k. na kamwe hawatakubali kama yeye ndiye aliyelima zaidi kuliko wao.Hao wafanyakazi watakuwa punguani sana.
1.mshahara wao nimewalipa sijawalipa?
2. je tulikubaliana kuwa jioni kila mtu nimpe maji ya kunywa?
3. huoni kuwa watakuwa wapumbavu wanataka kunipangia matumizi ya mali zangu?