Ndemla kupewa gari na kiongozi kutaivuruga timu

Ndemla kupewa gari na kiongozi kutaivuruga timu

FB_IMG_15152666238142171.jpg
 
kila mtu ana haki ya kumpa amtakaye zawadi ndugu yangu. kugawanya team ni akili za kimaskini tu ndo zinaweza dhania hivyo. mimi nina kitu kizuri nataka nimpe kichuya... niogope eti kwa kumpa kichuya nitagawa team kwa hiyo niwape team nzima. swali je kavunja kanuni au taratibu za kiuongozi au kuendesha mpira? no. tusianze sasa kuweka mawazo ya kipuuzi eti kugawa team. hata katika uumbaji kuna ambao wana viuongo vyote na wengine wana upungufu lakini hatuwezi sema kuna aliye bora kuliko mwenzie mbele ya Mungu. zote hizo ni zawadi. sasa mpumbavu anaweza kusema eti kwa kuwa yeye ana ulemavu basi haoni sababu ya kumtukuza Mungu au tayari anakosa ushirikiano na walio wazima.zote ni zawadi tu.

Zawadi inaweza kuleta matokeo hasi au chanya. Kama haitaratibiwa vizuri zawadi inaweza kuwa destructive, ndio maana zawadi zote zinawekewa vigezo vya wazi vya kuipata au kuikosa. Huwezi kukurupuka from no where na kumpa binti yako zawadi eti yeye ndiye kaleta kibiriti cha kuwashia moto jikoni na kumuacha yule aliyepika chakula na kutenga mezani. Ukifanya hivyo familia itakusingizia mabaya kwa huyo binti yako uliyempa zawadi kwa sababu za kipumbavu kabisa.

Walioleta furaha ya wazi kwenye mechi ile ya Simba na Singida ni Kichuya aliyejipinda dakika ya 3 tu ya mchezo na kufunga bao safi kabisa, akifuatiwa na Okwi na Kwasi, kila mtu alishangalia kwa raha hata yule asiyekuweko uwanjani. Mfano, kama Ndemla angecheza vizuri kama alivyoona kiongozi wake wa Simba lakini Simba ikafungwa au kutoa sare na Singida bado hiyo zawadi ya gari angepewa Ndemla? Ni ujiinga tu. Mbona Mapinduzi cup hakutoa zawadi, hakuna mchezaji aliyecheza vizuri mechi zote zile?
 
Unataka kiongozi awape gari timu nzima? Msuva alishawahi kupewa kiroba cha mchele mbeya. Relax kijana, life is too hard to complicate...
Hakupewa na kiongozi mkubwa wa Yanga, mashabiki wanaweza kumpa hata ndege mchezaji lakini sio kiongozi mkuu wa klab. Lazima zitengenezwe kanuni za zawadi na ziwekwe wazi kwa wachezaji wote kama kiongozi anataka kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja mmoja, vinginevyo atazuliwa jambo kubwa.
 
Katika mchezo unaohusisha watu wengi kuufanikisha huwezi kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja pekee. Kitendo hicho kinaweza kutendwa na watu binafsi au taasisi nyingine lakini sio kiongozi wa timu. Kiongozi wa aina hii anawagawa na kuwavunja moyo wachezaji wengine kijiiinga kabisa.

Ndemla kacheza na kupeana pasi na wenzake kwanini kiongozi ampe mchezaji mmoja zawadi ya gari na kuwaacha wengine wote hata akina Kichuya waliofunga magoli?

Alipopewa hivyo hivyo Gari Beki wetu mahiri Mohamed Hussein Tshabalala ' Zimbwe Jr ' kuliivuruga Timu? Siku nyingine jitahidi kutumia akili zako zote ulizopewa na Mwenyezi Mungu kufikiri na kujua kujenga hoja. Basi kwa taarifa yako tu technically na psychologically hiyo hatua ya Wachezaji kupewa Zawadi za Magari kila mara ndiyo itaongeza chachu maradufu kwa Wachezaji na ushindani ambapo kila Mtu atataka kuonyesha Kiwango ili nae apewe Gari lakini pia hapo hapo anakuwa anaisaidia Timu katika kupata ushindi Uwanjani.

Hivi Ofisini Kwako Bosi wako akiamua kukupa Wewe Zawadi na Wenzako wakijua huwa wanaumia au na Wao sasa wanaongeza bidii na ufanisi Kiutendaji ili na Wao wakati ujao Bosi awaone na awape / awatunuku hizo Zawadi? Hivi zile Zawadi ambazo tulikuwa tukipewa Mashuleni na Walimu mbele za School Baraza kwa Ufaulu mzuri ulikuwa unawavunja moyo Wanafunzi wengine au ndiyo Kwanza ulikuwa unawapa ' Usongo ' na Wao kusoma kwa bidii ili muhula ujao nao Wafaulu wapewe Zawadi na pia waipe Sifa Shule kwa Kufaulisha vyema Wanafunzi wake?

Hoja yako ni ' Mfu ' mno na haifai kuwepo katika ' Himaya ' iliyotukuka na ' Magreti Thinka ' wa JamiiForums.
 
Pg.24b.JPG

Wachezaji Haji Mwinyi (kushoto) na Juma Mahadhi wakipatana bei na waendesha bodaboda wakati walipowasili katika bandari ya Dar es Salaam

Ndemla%2BBreaking%2BNews.jpg

Mohamed-Hussein-Tshabalala-Gari-Jipya-Simba-Bongosoka.jpg

TANZANI+ONE+BLOG+NGASSA.JPG

Simba imekuwa na wachezeji mashoga huwenda nahuyu kapewa na bwanaake.
 
Na ww nunua yako mpe Boko yaan mtu gari na wakumpa apangiwe
 
Katika mchezo unaohusisha watu wengi kuufanikisha huwezi kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja pekee. Kitendo hicho kinaweza kutendwa na watu binafsi au taasisi nyingine lakini sio kiongozi wa timu. Kiongozi wa aina hii anawagawa na kuwavunja moyo wachezaji wengine kijiiinga kabisa.

Ndemla kacheza na kupeana pasi na wenzake kwanini kiongozi ampe mchezaji mmoja zawadi ya gari na kuwaacha wengine wote hata akina Kichuya waliofunga magoli?
unashangaa kupewa gari ? mbona kiwango cha mishahara wanatofautiana saana na sio kesi , kuanzia afrika mpaka ulaya mshahara wa pogba ni tofauti na martial
 
Zawadi inaweza kuleta matokeo hasi au chanya. Kama haitaratibiwa vizuri zawadi inaweza kuwa destructive, ndio maana zawadi zote zinawekewa vigezo vya wazi vya kuipata au kuikosa. Huwezi kukurupuka from no where na kumpa binti yako zawadi eti yeye ndiye kaleta kibiriti cha kuwashia moto jikoni na kumuacha yule aliyepika chakula na kutenga mezani. Ukifanya hivyo familia itakusingizia mabaya kwa huyo binti yako uliyempa zawadi kwa sababu za kipumbavu kabisa.

Walioleta furaha ya wazi kwenye mechi ile ya Simba na Singida ni Kichuya aliyejipinda dakika ya 3 tu ya mchezo na kufunga bao safi kabisa, akifuatiwa na Okwi na Kwasi, kila mtu alishangalia kwa raha raha yule asiyekuweko uwanjani. Mfano, kama Ndemla angecheza vizuri kama alivyoo kiongozi wa Simba lakini Simba ikafungwa au kutoa sare na Singida bado hiyo zawadi ya gari angepewa Ndemla? Ni ujiinga tu. Mbona Mapinduzi cup hakutoa zawadi, hakuna mchezaji aliyecheza vizuri?
Kichuya usiwe na wasi wasi utapata tu gari lako huyu mtoto Ndemla kuvumilia sana hapo simba acha na yeye apate bhana
Na huu utaratibu wa Hans Pope kutoa zawadi hajaanza leo na haijawahi team kugawanywa kama unavyo taka kuaminisha watu
Ndemla kupata gari haki yake
 
Back
Top Bottom