Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaguzi...!
Kwani hawalipwi malipo ya kwenye mikataba yao?
Hiyo ni motisha ili wachezaji waongeze bidii na kujituma.
Pia Ndemla ndio mchezaji pekee ambaye hakuwa na gari pale Timu Msimbazi.
Sasa ataweza kuwahi mazoezini sawa na wenzake.
Uliza tukupe muongozo,naona unaongea kidharauTuliambiwa kwa mbwembwe kafuzu majaribio anaenda kucheza ulaya lkn tunamuona hapa akicheza na singida na njombe mji
Hawezi kuhama kutoka Marekani kwenda Afghanistan... Ndemla anataka kuhamia Yanga..!!
Kila mchezaji anafahamu kuwa FIFA inatoa viatu vya dhahabu kwa mchezaji atakaefikisha vigezo A, B, C. Na kuna jopo la wataalam wa kupitia vigezo na mchakato wa kumpata atakayepewa hivyo viatu. Zawadi ya Ndemla haina vigezo, kamati wala jopo la kupitia nani kacheza vipi na nani anastahili kupewa gari. Zawadi inatoka kirafiki/kifamilia/kimahaba/kiujanjaujanja/kishogaaa/kimizengwe/kiabunwasi/kiaina/kishamba/kinazi/ki........ Hadi inapoteza maana na kuwaduwaza mashabiki na wachezaji wengine na kufuatiwa na minong'ono ya kila aina.Na vile viatu vya dhahabu, FIFA iwe inatoa kwa timu nzima!
ndemla sio wakwanza msimu ulopita tshabalala pia alipewa gari na hanspope ..mi naona ni jambo zuri linaongeza morali na hali yakujituma kwa wachezajiKatika mchezo unaohusisha watu wengi kuufanikisha huwezi kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja pekee. Kitendo hicho kinaweza kutendwa na watu binafsi au taasisi nyingine lakini sio kiongozi wa timu. Kiongozi wa aina hii anawagawa na kuwavunja moyo wachezaji wengine kijiiinga kabisa.
Ndemla kacheza na kupeana pasi na wenzake kwanini kiongozi ampe mchezaji mmoja zawadi ya gari na kuwaacha wengine wote hata akina Kichuya waliofunga magoli?
Singida timu ngumu 4-0, Kagera timu dhaifu 2-0, mechi inayofuata 1-0, itakayofuata 0-0, nyingine 0-1
Singida timu ngumu 4-0, Kagera timu dhaifu 2-0, mechi inayofuata 1-0, itakayofuata 0-0, nyingine 0-1
Aaah mkuu!!, sio kama simpendi Ndemla, ila sipendi zawadi zinazotolewa bila utaratibu unaoeleweka kwa wachezaji na mashabiki kama mimi. Kama ni hivyo Kuundwe kamati ndogo ya zawadi zinazotolewa papo kwa papo ili kuepukana na zawadi za kinafiki na mizengwe kwa wachezaji. Ijulikane kwa wachezaji wote idadi ya magoli, assist, kuokoa, chenga, butua zinazotakiwa mchezaji acheze ili apewe gari. Vinginevyo hatutaweza kutofautisha ufundi na ushoga kwenye mpira.kavulata jana yule usiyempenda litupia bao la kwanza.................... najua hapo roho itakuw aimekuuma sana. unaona ile faida ya kumpa gari? si unaona alipasiwa na kichuya..so ile gari ilileta mshikamano zaidi kwa wachezaji.
sio kama simpendi Ndemla, sipendi zawadi zinazotolewa bila utaratibu unaoeleweka. Kuundwe kamati ndogo ya zawadi zinatolewa papo kwa papo ili kuepukana na zawadi za kinafiki na mizengwe kwa wachezaji. Ijulikane kwa wachezaji wote idadi ya magoli, assist, kuokoa, chenga, butua zinazotakiwa mchezaji acheze ili apewe gari. Vinginevyo hatutaweza kutofautisha ufundi na ushoga kwenye mpira.
Wewe ni jinsia gani?zawadi ametoa mtu kwa mapenzi binafsi kwa nini umpangie vigezo? ni sawa na mfano huu. mimi na wewe tunatafuta kazi ya kulima. wewe ukaenda ukapata mkakubaliana na mwenye shamba kuwa utalima kuanzia saa 12 asubuhi mpaka 10 jioni kwa tsh 500. mkakubaliana ukaanza kazi. nami kufika saa 8 mchana nikaja hapo shambani kuomba kazi mwenye shamba akanikubalia.nikapewa sehemu yangu nikalima mpaka saa 10. mwenye shamba akakuita akakupa tsh 500 yako. nami akaniita hapo hapo akanipa 500. then wewe uanze kulalamika kuwa ni uonevu wewe umelima toka saa 12 mpaka saa 10 kakupa 500 na mimi nimeanza kulima toka saa 8 mpaka saa 10 hiyo hiyo kanipa 500. utakuwa huna akili.mwenye shamba ana uhuru wa kumpa mtu yeyote kiasi anachotaka.
kiongozi aliyetoa gari kwa ndemla ametoa yeye kama yeye kwa utashi wake.ana uhuru wa kumpa mtu yeyote kwa sabab zake. angeweza hata kumpa hiyo zawadi mchezaj ambaye hajawah kucheza mechi hata moja na bado kama una akili usimlamu kuwa hiyo itasababisha na wengine wasitake kucheza sababu mwenzao hachezi na kapewa zawadi ya gari. swali je kiongozi huyo hiyo gari katoa kama zawadi ya klabu au katoa kama yeye binafsi? haya mambo yanahitaji akili ndogo tu kuyaelewa wala si kubwa sana.mimi katika jambo hili natumia tu akili ya darasa la pili. hata ya darasa la tatu situmii kulijadili.
Umeandika sana lakini mfano wako haufani na mada hii. Kila mchezaji pale anao mkataba wake binafsi unaotokana na ujuzi na makubaliano yake na mwajiri, malipo yaliyoko kwenye mikataba hayana utata hata kama wapo wanao-mind. Chenye utata ni pale ambapo vibarua wako 11 hao uliotolea mfano umewapa kibrua cha kulima eka moja wote 11 kwa pamoja, wewe tajiri alipofika jioni unachagua kibarua mmoja tu na kumpa maji ya kunywa na ukawaacha wengine 10 na kiu yao. Ingiwa kwenye mkataba wa kulima ile eka moja hakukuwa na kipengele cha vibarua kupewa maji ya nyunywa na tajiri lakini bosi anapoamua kumpa maji kibarua mmoja tu na nakuwaacha wengine na kiu ni lazima sababu za yule kibarua 1 kupewa maji peke yake ziwe wazi na zifafanuliwe ili wengine pia wazithibitishe hizo sababu kama ni za kweli au za kiboya. Kama sababu sio za kweli lazima watatafuta zaidi sababu ya mwenzao kupewa maji ya kunywa na bosi wakati wamelima wote kwa usawa na pengine wako waliolima zaidi (Okwi, Kwasi na Kichuya) kuliko yule aliyepewa maji (Ndemla).zawadi ametoa mtu kwa mapenzi binafsi kwa nini umpangie vigezo? ni sawa na mfano huu. mimi na wewe tunatafuta kazi ya kulima. wewe ukaenda ukapata mkakubaliana na mwenye shamba kuwa utalima kuanzia saa 12 asubuhi mpaka 10 jioni kwa tsh 500. mkakubaliana ukaanza kazi. nami kufika saa 8 mchana nikaja hapo shambani kuomba kazi mwenye shamba akanikubalia.nikapewa sehemu yangu nikalima mpaka saa 10. mwenye shamba akakuita akakupa tsh 500 yako. nami akaniita hapo hapo akanipa 500. then wewe uanze kulalamika kuwa ni uonevu wewe umelima toka saa 12 mpaka saa 10 kakupa 500 na mimi nimeanza kulima toka saa 8 mpaka saa 10 hiyo hiyo kanipa 500. utakuwa huna akili.mwenye shamba ana uhuru wa kumpa mtu yeyote kiasi anachotaka.
kiongozi aliyetoa gari kwa ndemla ametoa yeye kama yeye kwa utashi wake.ana uhuru wa kumpa mtu yeyote kwa sabab zake. angeweza hata kumpa hiyo zawadi mchezaj ambaye hajawah kucheza mechi hata moja na bado kama una akili usimlamu kuwa hiyo itasababisha na wengine wasitake kucheza sababu mwenzao hachezi na kapewa zawadi ya gari. swali je kiongozi huyo hiyo gari katoa kama zawadi ya klabu au katoa kama yeye binafsi? haya mambo yanahitaji akili ndogo tu kuyaelewa wala si kubwa sana.mimi katika jambo hili natumia tu akili ya darasa la pili. hata ya darasa la tatu situmii kulijadili.
Umeandika sana lakini mfano wako haufani na mada hii. Kila mchezaji pale anao mkataba wake binafsi unaotokana na ujuzi na makubaliano yake na mwajiri, malipo yaliyoko kwenye mikataba hayana utata hata kama wapo wanao-mind. Chenye utata ni pale ambapo vibarua wako 11 hao uliotolea mfano umewapa kibrua cha kulima eka moja wote 11 kwa pamoja, wewe tajiri alipofika jioni unachagua kibarua mmoja tu na kumpa maji ya kunywa na ukawaacha wengine 10 na kiu yao. Ingiwa kwenye mkataba wa kulima ile eka moja hakukuwa na kipengele cha vibarua kupewa maji ya nyunywa na tajiri lakini bosi anapoamua kumpa maji kibarua mmoja tu na nakuwaacha wengine na kiu ni lazima sababu za yule kibarua 1 kupewa maji peke yake ziwe wazi na zifafanuliwe ili wengine pia wazithibitishe hizo sababu kama ni za kweli au za kiboya.