Basi inaonekana alikuwa uchochoro kwa timu. Kama hadi wewe Famba umeona basi ni wazi alitakiwa afanyiwe mabadiliko.Hata mimi sijui mpira lakin shamte alistahlil kufanyiwa sub
Sijaelewa shamte kuandelea kucheza, Kwanza kacheza upande wa kulia wakati inaonekana hawez kutumia mguu wa kulia, Pili sijamwelewamwalimu mchezaji shamte amepata mipira mingi ya kupiga kross upende wa kulia lakini alikuahawez kutumia mguu wa kulia ilikua inamlazimu autulize mpira ndioaupige tena anapiga fyongo.Tangu mpira unaanza mashambulizi yote yanapitia upande wa kulia Haruna Shamte kachoka tangu dk ya kwanza hawezi kabisa hii game kwenye benchi kuna Kessy hataki kumuingiza hii mikocha ya kigeni sio muda wote matola tu ndie anahaha kusimama yy katulia tu!
Usimlaumu bana kajitahidi sana, ila kumuacha Shamte imetushangaza we wengi, alikuwa hawezi kukaba na bado hawezi kupandisha timu.Tangu mpira unaanza mashambulizi yote yanapitia upande wa kulia Haruna Shamte kachoka tangu dk ya kwanza hawezi kabisa hii game kwenye benchi kuna Kessy hataki kumuingiza hii mikocha ya kigeni sio muda wote matola tu ndie anahaha kusimama yy katulia tu!
Damu nzito kuliko H2O.Tangu mpira unaanza mashambulizi yote yanapitia upande wa kulia Haruna Shamte kachoka tangu dk ya kwanza hawezi kabisa hii game kwenye benchi kuna Kessy hataki kumuingiza hii mikocha ya kigeni sio muda wote matola tu ndie anahaha kusimama yy katulia tu!
Tutafanya vizuri inshaallah!Kule kulia kulivuja sana... nafikiri mechi ijayo kocha atarekebisha.
Anapokosekana Kapombe basi awepo Kessy au Boxer... hawa wako vzr kuliko Shamte
Tangu mpira unaanza mashambulizi yote yanapitia upande wa kulia Haruna Shamte kachoka tangu dk ya kwanza hawezi kabisa hii game kwenye benchi kuna Kessy hataki kumuingiza hii mikocha ya kigeni sio muda wote matola tu ndie anahaha kusimama yy katulia tu!
Kocha ana mahaba sana na Shamte.Nilijua ni mimi pekee ndio nimeona ule upande wa kulia ulipitika kirahis sana,,kuna wakat niliona kessy amesimama nilijua anafanya mabadiliko
Hahahah keimamae wallahBasi inaonekana alikuwa uchochoro kwa timu. Kama hadi wewe Famba umeona basi ni wazi alitakiwa afanyiwe mabadiliko.
Imagine Famba kaona madhaifu ya Shamte! 😀Hahahah keimamae wallah
Basi kweli yawezekana Shamte ni janga la Taifa... maana hii imekaa kama mwanaume aone siku zake za mweziImagine Famba kaona madhaifu ya Shamte! 😀