Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Tangu mpira unaanza mashambulizi yote yanapitia upande wa kulia Haruna Shamte kachoka tangu dk ya kwanza hawezi kabisa hii game kwenye benchi kuna Kessy hataki kumuingiza hii mikocha ya kigeni sio muda wote matola tu ndie anahaha kusimama yy katulia tu!