Nderagije anatuhujumu

Nderagije anatuhujumu

Tangu mpira unaanza mashambulizi yote yanapitia upande wa kulia Haruna Shamte kachoka tangu dk ya kwanza hawezi kabisa hii game kwenye benchi kuna Kessy hataki kumuingiza hii mikocha ya kigeni sio muda wote matola tu ndie anahaha kusimama yy katulia tu!
Kocha apumzishwe kwa game la marudiano asikae hata bench
 
Back
Top Bottom