namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
Kocha apumzishwe kwa game la marudiano asikae hata benchTangu mpira unaanza mashambulizi yote yanapitia upande wa kulia Haruna Shamte kachoka tangu dk ya kwanza hawezi kabisa hii game kwenye benchi kuna Kessy hataki kumuingiza hii mikocha ya kigeni sio muda wote matola tu ndie anahaha kusimama yy katulia tu!