Ndg Asprin

nimemuona akasema anawatoa wapwa na wajukuuz kny crapiest,,nimefurahi sana kumuona mnoko fainest na afro wake

Mie kumenishinda kule bwana wizi mtupu mbona mie bacha, finest nk hawajanitongoza jamani au nimezeeka
 
Ye mwenyewe anajijua ni mnoko kwangu,,LOL
mlimani ni mahali petu pa kudumu ili tuwe saints

hahahahah lol
labda umeleke mlima na ye mmhhhh
akiwa saint labda atakuheshimu lol

nway vipi mambo lakini..
nimependa hilo vazi lako la kimasaiii. lol
 
Mie kumenishinda kule bwana wizi mtupu mbona mie bacha, finest nk hawajanitongoza jamani au nimezeeka

wewe TF si alikufuta
kwenye ile thread ya infi ukamkana ka mwayahudi..

leo unamtaka hahahahha lol
ngoja nika mwite lol
 
Jamani baba enock uko wapi uje unitongoze? maana naona huku wanatongozana wao kwa wao mi sina mwenza baby come zis way please
 
hahahahah lol
labda umeleke mlima na ye mmhhhh
akiwa saint labda atakuheshimu lol

nway vipi mambo lakini..
nimependa hilo vazi lako la kimasaiii. lol
kuna kipindi tulimuanzishia mafundisho na zd kdg akatulia labda kama utamwambia aje kwanza kwa councelling,,,,hili vazi ni uwakilishi hata ww unaruhusiwa kuwa nalo hv naweza kukutumia,,lol
 
Jamani baba enock uko wapi uje unitongoze? maana naona huku wanatongozana wao kwa wao mi sina mwenza baby come zis way please

afu we maty wewe???ile senks umempa babu ya nini????ntakuongezea dozi ya mazoezi
 
kuna kipindi tulimuanzishia mafundisho na zd kdg akatulia labda kama utamwambia aje kwanza kwa councelling,,,,hili vazi ni uwakilishi hata ww unaruhusiwa kuwa nalo hv naweza kukutumia,,lol

hahahah lol
ntafanya juu chini nimalazimeshe aje maana..
mmhhhh sijui nini kimempanda siku hizi..

mmhh mie hilo vazi siku nikipata silivai.
nalirembea sebule kila aingiae alione hahah lol
 
Asprin wamekusifia saaaana , nakupenda kama wali na kisamvu
Una hekima kama mfalme Suleiman
Mbona hujasema kama utatupa Bonus??
 
Nawasalimu wapendwa, nipo counter ya juu, busy kidogo na Viceroy. Jamani leo mmemwona Cleaner?
 
Nawasalimu wapendwa, nipo counter ya juu, busy kidogo na Viceroy. Jamani leo mmemwona Cleaner?

Hahahaaaaaaaaa unatafutwa na wiselady kila kona wewe cha kujificha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…