Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Hahahaaaaaaaaa unatafutwa wiselady kila kona wewe cha kujificha nini
Labda yuko mlimani hata mie sijamuona muda mrefu kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaaaaa unatafutwa wiselady kila kona wewe cha kujificha nini
Huku jua linawai kuzama..Mapema namna hii??
nitakipenda ila na mchemsho wa samaki uwepo kando
Labda yuko mlimani hata mie sijamuona muda mrefu kweli
Huku jua linawai kuzama..
mlimani v/s counter
Mchemsho wa samaki utapata tu haina shida. Shemeji yangu Dena Amsi atanisaidia kufanza mambo, manake yeye amewekeza kwenye sekta ya uvuvi pale musoma, ana boti za kutosha kwahiyo kitoweo sio habari kwake.
Habari yake binafsi!Mchemsho wa samaki utapata tu haina shida. Shemeji yangu Dena Amsi atanisaidia kufanza mambo, manake yeye amewekeza kwenye sekta ya uvuvi pale musoma, ana boti za kutosha kwahiyo kitoweo sio habari kwake.
Shemeji mdogo mdogo bana unatoa siri sasa
Habari yake binafsi!
Nimekusoma shem, lakini hizo zako sio za maharamia wa kisomali, zimesajiliwa na SUMATRA na unalipa kodi kikamilifu.
isitoshe nilikuwa naweka msisitizo tu ili WL anielewe, sasa usiposaidia hii kitu shemeji yako nachukua za uso mchana kweupe.
Manake nataka kabla kimey hajaamka niwe nimemeliza kazi. Ole wako kimey WL akifika mikononi mwangu sahau.
Hahaha hebu njoo hapa counter ya juu upate BaGpiper au WhiteHorse.Khaa, umetokea wapi wewe? watu tunafanya mipango yetu hapa nawewe unaibuka tena? basi tena WL nimemkosa.
Hatahivyo itabidi tu unishukuru kwa kazi kubwa niiyofanya hapa, nilikuwa nakulindia my wife wako manake kuna mibaba humu jf inajua kutongoza, balaa!!
Hahaha hebu njoo hapa counter ya juu upate BaGpiper au WhiteHorse.
Hahahahaha! Nimecheka mpaka nimepumulia masikioni.
Hivi kuna mababu wa kweli na mababu feki?
Njoo ufanyiwe maombi.
mko wangapi hapo counter, manake usalama kwanza.