Ndg Asprin

Ndg Asprin

Usijali, kwa maombi yako na yangu, utadumu mpaka pale Malaika Gabriel atakapotoa kibali kwamba sasa waweza kurudi kwa baba, kwa kuwa hakika umefikisha muda ule uliopangiwa. Sema AMEN!
Amen!
 
Jamani babu yangu anaendeleaje mwambieni mjukuu wake mpendwa nimeamka ila kuna tatizo mimi na yeye inapaswa tuongee wajukuu zake wa kike wanasema niwakague viambata vyao
 
Jamani babu yangu anaendeleaje mwambieni mjukuu wake mpendwa nimeamka ila kuna tatizo mimi na yeye inapaswa tuongee wajukuu zake wa kike wanasema niwakague viambata vyao

naona umerudi kutoka safari zako za kutongoza,,ona sasa mpaka umesemewa live!!!twenzetu mlimani
 
Babu =Busara
Busara=Babu..

mmmhh haya mizani yangu imekubali...
ni keli lakini Damie huyu babu yetu..
ni mtaalum wa mambo ya ndani na ya nje..
Mzee wa Busara...
 
Hivi kwani amesema alikataa. Huyo kamegwa jamaa akasepa.STUKENI! Mwenzie alitaka single, yeye anataka album!

Ha ha ha nimecheka mpaka basi single use sio au single nyimbo uwiiiii mbavu zangu mie
 
Babu =Busara
Busara=Babu..

mmmhh haya mizani yangu imekubali...
ni keli lakini Damie huyu babu yetu..
ni mtaalum wa mambo ya ndani na ya nje..
Mzee wa Busara...

Amin amin nakuambia, valuu ntakayokunywa leo, itakuwa kwa ajili ya afya yako!
 
naona umerudi kutoka safari zako za kutongoza,,ona sasa mpaka umesemewa live!!!twenzetu mlimani
yaani umeamua kunivua nguo mchana kweupe ngoja nimtafute invizibo akupe ban yako hivi kimey bado anaungama
 
Vikao viko palepale na kutongoza kupo palepale

babu yangu aliwahi kunambia:
Raha ya kutongoza ni kukubaliwa, na raha ya kukubali ni kushukuriwa.
Usiposhukuriwa mtongozaji atakuwa ameshinda, kwa kuwa hutamwona tena akikutongoza wala sura yake. Kiu haikatwi kwa maziwa, bali maji.
 
yaani umeamua kunivua nguo mchana kweupe ngoja nimtafute invizibo akupe ban yako hivi kimey bado anaungama

hahaha,,vingine nimekuhifadhi kwa hisani ya afro,,,Kimey bado anaungama ili aweze kushiriki sakrament
 
Vikao viko palepale na kutongoza kupo palepale

Yule anatafuta sie kina mama tusiitwage vikaoni, mbafu zake mi sidhani hata kama ameshawahi kuhudhuria kikao hata kimoja huyu katongozwa pm uko kaombwa picha katoa kaenda kumegwa na huyo huyo kisha akatambaa zake ndo aja kulalamika hapa mwe
 
nimemuona akasema anawatoa wapwa na wajukuuz kny crapiest,,nimefurahi sana kumuona mnoko fainest na afro wake

wewe koma kuita hivyo..
weye na Kimey bado mwa fanya nini tu huko mlimani..
mtamaliza mbuzi za watu ...
hahahahaha lol
 
[/COLOR]
wewe koma kuita hivyo..
weye na Kimey bado mwa fanya nini tu huko mlimani..
mtamaliza mbuzi za watu ...
hahahahaha lol

Ye mwenyewe anajijua ni mnoko kwangu,,LOL
mlimani ni mahali petu pa kudumu ili tuwe saints
 
Back
Top Bottom