Whomever you call heart-breaker, nakuomba ukimbie kule tunakowapendaga fasta.I understand how much u care for us babu,,hasa nikikumbuka zile laana ulizotoa jana.Hatibreka akae mbali kwa hisani ya babu ODIEM
Whomever you call heart-breaker, nakuomba ukimbie kule tunakowapendaga fasta.
Halafu usimsikilize sana huyu babu.......ni Kabaila wa wajukuu!
Naona unatafuta kuchanganyiwa Grants na Viceroy wewe.........ukiendelea hivi kesho utakuja kuhadidhia hapa..........labda usifanye yale mambo ya from temeke with love pale jj leo......ukifanya hivyo tu, ukirudi unakuta kitu cha mix.......na hivi unabigia fasta fasta.......nusu saa tu......Teamo anapata kazi ya Udereva taxi.Wajukuuz for the babu...babu hana madhara kwa wajukuu zake!
Dont say I didn't warn you! And I hate seeing women crying!
yesssHuyu ana busara gani? Kukagua ze needs ndo busara?
Taarifa ninayo.......nimepewa via cm jana saa saba usiku na efu-elo.Sasa we una taarifa Pope Kaizer kashatuletea sababu ya kukutana leo?...Sasa ile kitu feki na crapiest itakuwaje?
I understand how much u care for us babu,,hasa nikikumbuka zile laana ulizotoa jana.Hatibreka akae mbali kwa hisani ya babu ODIEM
Waweza kunitajia mmoja wapo nikuzawadie?
babu i loveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee u..!!!!!
Whomever you call heart-breaker, nakuomba ukimbie kule tunakowapendaga fasta.
Halafu usimsikilize sana huyu babu.......ni Kabaila wa wajukuu!
bgrta mbona jana umeniacha msimbaz center?Naona unatafuta kuchanganyiwa Grants na Viceroy wewe.........ukiendelea hivi kesho utakuja kuhadidhia hapa..........labda usifanye yale mambo ya from temeke with love pale jj leo......ukifanya hivyo tu, ukirudi unakuta kitu cha mix.......na hivi unabigia fasta fasta.......nusu saa tu......Teamo anapata kazi ya Udereva taxi.
You are warned.:frusty:
Kwa kuwa viwango vyako viko juu kuliko vya mzee six, we nipe yeyote tu mi ntampokea kwa mikono miwili na miguu yote:smile-big:
Waoooh! Micd u mbaya...
Please don't go St. RR's way!
Here we go grandie...please don't go Bigi's way>>>
halafu hapo ndo unafanya nini sasa na bibi yako? we si umesema unataka kajukuu kangu kamoja?
You have been warned.....:banplease:
maanake yule ''mariam'' wa chemi-cortex usipoonana nae mapema utashindwa KUSHIRIKI CHAKULA CHA PAMOJA NA FAMILIA(dinner)Aisee umenena vyema. Mpango wa leo unasemaje?
Huyu mkoloni naona ananizengua tu hapa.
Mzee wa busara haya bana hongera sana kupata sifa asubuhi subuhi. Mzima lakini
ha ha ha,nimeamua kumtuliza kiivyo asije nitamkia laana,,am there already
aya ..st rr is RIP nw
Almighty God samehe zambi ake please!