Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Kuna mjukuu wangu mmoja amepotelea huko Ukuryani...please go for her/him..........anaitwa Semenya!
Hapana bana, hii kitu haiwezekani.
we mwenyewe huna uhakika nae, hii kitu bado ni controversial kwenye ile maneno ya jinsi yake babu, sasa ukuryani atafikaje? na unajua sisi mila yetu kama YANGA, mbele daima.