Ndg Asprin

Ndg Asprin

Dena tulikuwa ibadani,,,hebu cheki babu alivyo na mawivu eti anamuliza mwita nani kamruhusu kuongea na.......!!!!!!!!!!huyu babu bana!natamani kumbadilisha

Bikira Maria Mama Wa Yesu.........Babu amefadhaika. Babu amesikitika. Babu anarudi kitandani kwa simanzi.

Kwa herini wajukuu zangu. Wiselady kaniponda moyo wangu. Sijui kama tutaonana tena.

Mkimwona mwambieni babu ametoa machozi kwa huzuni.
 
Umwombee huyu mkosefu
 
Penda unapopendwa, usipopendwa akili kumkichwa.

Unapoanza tu kuomba kibali cha kuachana nae ni dalii ya kwamba mambo hayaendi sawa, ama imekuwa tofauti na matarajio.

Labda nikuulize tu, ulipomkubali uliomba ushauri kwa babu? ama ilikuwa ni one against one?

Hapo kny red sikuomba ushauri bali nilikabidhiwa na nikampenda,,yeye pia ananipenda ila nataka babu anikabidhi upya maana huu ni mwaka mpya
 
Bikira Maria Mama Wa Yesu.........Babu amefadhaika. Babu amesikitika. Babu anarudi kitandani kwa simanzi.

Kwa herini wajukuu zangu. Wiselady kaniponda moyo wangu. Sijui kama tutaonana tena.

Mkimwona mwambieni babu ametoa machozi kwa huzuni.

Uuuuuwi!nakufa kwa kucheka,,babu nisamehe sikukusudia,,nimekosa mimi,tena nimekosa sana!naomba ufute machozi na usirudi kitandani(PM)kaa nasi tafadhali,,nakupenda babu yangu mzuri :smile-big:
 
Dena tulikuwa ibadani,,,hebu cheki babu alivyo na mawivu eti anamuliza mwita nani kamruhusu kuongea na.......!!!!!!!!!!huyu babu bana!natamani kumbadilisha

Huyu babu dawa yake ndogo sana, ngoja nimuendee pemba, nikirudi hakutakuwa na wivu wala nini.
 
Back
Top Bottom