Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Kuna mjukuu wangu mmoja amepotelea huko Ukuryani...please go for her/him..........anaitwa Semenya!
Waoooh! Micd u mbaya...
Please don't go St. RR's way!
aya ..st rr is RIP nw
bgrta mbona jana umeniacha msimbaz center?
tehe tehe! ukijaribu unakaguliwa.........usipojaribu unakaguliwa vile vile....:smile-big:Babu nadhani una limbwata wewe hii sio kawaida :sad::confused2::nono::nono::nono::nono:
Babu nadhani una limbwata wewe hii sio kawaida :sad::confused2::nono::nono::nono::nono:
Nini bana!........wakati ukiwa unabadilisha tairi tukutuku yako, mi nilikuwa busy nina msogeza swtyhat karibu na daladala coz tulikuwa tunaenda opposite direction.Watching.....vere vere close!
Hapana bana, hii kitu haiwezekani.
we mwenyewe huna uhakika nae, hii kitu bado ni controversial kwenye ile maneno ya jinsi yake babu, sasa ukuryani atafikaje? na unajua sisi mila yetu kama YANGA, mbele daima.
I feel like am seeing one of wajukuu crying......her heart seriuos crushed by proffesional heart breaker!
Hope its not you my darling Wise the Lady. I hope not! Kwasababu you are Wise just like I instructed your dad to name you!
tehe tehe! ukijaribu unakaguliwa.........usipojaribu unakaguliwa vile vile....:smile-big:
Msisisahau leo invii ana apetait ya ajabu ya kugawa ban........
Oh nooo! it wasn't serious babu,was just teasing him! mimi nafuata vile babu anasema,,i won't go other way round namsikiliza babu tuuuuuuuuu
nilikuwa nampelekea spana yake namba 67 aliisahau kwenye poch yangu...nthng hapen beb...:smile-big:Watching.....vere vere close!
kaniambia ni heart maker babu nataka achukue nafasi ya kimey,,unaridhia?
Nini bana!........wakati ukiwa unabadilisha tairi tukutuku yako, mi nilikuwa busy nina msogeza swtyhat karibu na daladala coz tulikuwa tunaenda opposite direction.
piga ban sasa:banplease::banplease:
Nini bana!........wakati ukiwa unabadilisha tairi tukutuku yako, mi nilikuwa busy nina msogeza swtyhat karibu na daladala coz tulikuwa tunaenda opposite direction.
piga ban sasa:banplease::banplease:
Msisisahau leo invii ana apetait ya ajabu ya kugawa ban........
:crying:
m sor shetan alinipitia...
Limbwata yangu ni ugoro. Nkiutia mdomoni namwaga sera tu, wajukuu wanakuja kuizunguka meza yangu. wanacheka na kufurahi na babu.
Ni wewe tu umebakia. Ni wewe tu na ukaidi wako.
Japokuwa nawe uko kwenye listi ya niwapendao sana.
And you know how babu is sweet when talking to you privately?