Ndg wafugaji, karibuni tuendelee na ajenda nyingine. (tunazungumzia mbwa).

Ndg wafugaji, karibuni tuendelee na ajenda nyingine. (tunazungumzia mbwa).

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,841
Habari za wakati huu waungwana!

Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala.
kila mtu yampasa afuge mbwa..
Mimi napenda sana mifugo,
Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana!

sasa, sitaki mbwa wangu awe kama wale wengine wa mtaani, nataka mbwa bora.
-asiwe mjinga mjinga
-hali chakula ovyo
-aweze kutofautisha mgeni na mwenyeje
-atii amri (kijeshi)

Mbwa wenye sifa hizo wanapatikana wapi?
Je! unaweza kumfunza mwenyewe akawa kama vile upendavyo?
Nini kifanyike;
 
Fuga mwenyewe tangia mdogo halafu uwe na muda wa kutosha kucheza/kumfundisha/kumlisha vyote unavyochotaka aweje atakua tu
Achana na kununua mbwa wakubwa
 
Fuga mwenyewe tangia mdogo halafu uwe na muda wa kutosha kucheza/kumfundisha/kumlisha vyote unavyochotaka aweje atakua tu
Achana na kununua mbwa wakubwa
hicho nakitaka zaidi thank you
 
Back
Top Bottom