GE2025 Ndg Wakili, Mwanasheria, Hakimu na Jaji, Hebu Mtueleze Wananchi ni Sahihi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555
Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.

Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?.

Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote.

Nawasilisha kutoka katikati ya jiji la mzimuni.
 
Mahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..
Ile siyo kesi ya wizi wa kuku, ile ni uhaini, kwa hyo wewe ukifanya maigizo yoyote yale, wenye majukumu yao kisheria wanayachukulia serious..
Mkienda mahakaman nendeni kwa adabu pale siyo ukumbi wa kamati kuu kuwa mnaenda kumzomea yeriko nyerr
 
Kwa mtizamo wako kama usemavyo kumbe ni haki kujichukulia sheria mikononi? Kama kuna sheria imekiukwa kwanini wasishitakiwe??

Wakati mwingine acha kujifanya hamnazo. Acha upuuzi kabisa nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria siyo kwa mujibu wa wahuni.
 
Mahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..
Ile siyo kesi ya wizi wa kuku, ile ni uhaini, kwa hyo wewe ukifanya maigizo yoyote yale, wenye majukumu yao kisheria wanayachukulia serious..
Mkienda mahakaman nendeni kwa adabu pale siyo ukumbi wa kamati kuu kuwa mnaenda kumzomea yeriko nyerr
Sindikizia na kifungu cha sheria mkuu, bila hivyo wewe ni yale yale maccm majinga majinga
 
Kwa kawaida watu wengi wanafikiri kuangusha serikali ni kazi ngumu.Kazi ngumu ni Kujenga Serikali,kazi ngumu ni kuilinda Serikali.

Kwa nini nimeleta Huu mjadala?Sisi Keyboard warriors mtandaoni hasa Hapa Tanzania tunafikiri kwamba kuangusha Serikali ni kazi Ngumu.Hapana sio kazi ngumu.Kazi ngumu ni kujenga Serikali.

Unaweza kuwa Umekaa Twitter au JF au kwenye kijiwe cha kahawa ukilalamika na kulaumu serikali.Pamoja na lawama na malalamiko yako unasahau kwamba ukiamua Kuangusha Serikali ni Jambo Rahisi sana.Jambo gumu litakuwa ni kujenga serikali mpya.

So tunapojadili changamoto za nchi yetu tusisahau kwamba ni rahisi sana sisi wananchi kuiangusha serikali yetu ili sio Rahisi kuijenga.Kwa nini ni ngumu kuijenga?Kwa sababu tofauti zetu za mitazamo na fikra kuhusu namna tunataka serikali iendeshwe,nani aiendeshe,iwe ni muundo wa namna gani n.k. bad itaendelea kuwepo hata baada ya kuiondoa serikali iliyopo.

So kabla ya kuboma Serikali yetu tutafakari pia namna ambavyo tutaijenga.

Historia inaonesha kwamba Wananchi walipoamua kuongusha Serikali yao walihitaji siku 3 tu kuangusha serikali.Mfano Mwepesi ni Nepal ambao Serikali yao ilianguka ndani ya siku 2.

Nimechokoza mjadala.Tutiririke
 
Mahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..
Ile siyo kesi ya wizi wa kuku, ile ni uhaini, kwa hyo wewe ukifanya maigizo yoyote yale, wenye majukumu yao kisheria wanayachukulia serious..
Mkienda mahakaman nendeni kwa adabu pale siyo ukumbi wa kamati kuu kuwa mnaenda kumzomea yeriko nyerr
Hivi usikute wewe na mabosi wako hapo mlipo hata hamfahamu maana halisi ya neno UHAINI! Ila kwa sababu mmeona itawasaidia kumzuia Mwamba kuwanyoosha kupitia mikutano yake ya hadhara; mkaona njia pekee ni hii ya kumtengenezea uhaini wa mchongo kama njia pekee ya kumzuia na kumkomesha. Hovyo kabisa.
 
Hakuna sababu ya kushindanisha taharuki ndani ya nchi kisa legacy ya mtu mmoja kisa apate hela ya kutunza family yake huko ubelgij

Itoshe kusema mamilion ya wazee, akina mama, watoto na makundi maalumu wasioweza kukimbia kisa kukinukisha ni bora kuliko familia ya mpuuzi mmoja inayoisha ubelgij
 
Mahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..
Ile siyo kesi ya wizi wa kuku, ile ni uhaini, kwa hyo wewe ukifanya maigizo yoyote yale, wenye majukumu yao kisheria wanayachukulia serious..
Mkienda mahakaman nendeni kwa adabu pale siyo ukumba kamati kuu kuwa mnaenda kumzomea yeriko nyerr
Nimesoma na kurudia mara nyingi sijakuelewa imefika hatua nimeacha!.

Blurdfkn!.
 
Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.

Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?.

Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote.

Nawasilisha kutoka katikati ya jiji la mzimuni.
1000227957.jpg
 
Shida siyo hao watu mzee, shida ni NJAA baba, wanatetea ugari wao...
 
Back
Top Bottom