Mahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.
Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?.
Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote.
Nawasilisha kutoka katikati ya jiji la mzimuni.
Kwa mtizamo wako kama usemavyo kumbe ni haki kujichukulia sheria mikononi? Kama kuna sheria imekiukwa kwanini wasishitakiwe??Mahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..
Ile siyo kesi ya wizi wa kuku, ile ni uhaini, kwa hyo wewe ukifanya maigizo yoyote yale, wenye majukumu yao kisheria wanayachukulia serious..
Mkienda mahakaman nendeni kwa adabu pale siyo ukumbi wa kamati kuu kuwa mnaenda kumzomea yeriko nyerr
Sindikizia na kifungu cha sheria mkuu, bila hivyo wewe ni yale yale maccm majinga majingaMahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..
Ile siyo kesi ya wizi wa kuku, ile ni uhaini, kwa hyo wewe ukifanya maigizo yoyote yale, wenye majukumu yao kisheria wanayachukulia serious..
Mkienda mahakaman nendeni kwa adabu pale siyo ukumbi wa kamati kuu kuwa mnaenda kumzomea yeriko nyerr
Hivi usikute wewe na mabosi wako hapo mlipo hata hamfahamu maana halisi ya neno UHAINI! Ila kwa sababu mmeona itawasaidia kumzuia Mwamba kuwanyoosha kupitia mikutano yake ya hadhara; mkaona njia pekee ni hii ya kumtengenezea uhaini wa mchongo kama njia pekee ya kumzuia na kumkomesha. Hovyo kabisa.Mahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..
Ile siyo kesi ya wizi wa kuku, ile ni uhaini, kwa hyo wewe ukifanya maigizo yoyote yale, wenye majukumu yao kisheria wanayachukulia serious..
Mkienda mahakaman nendeni kwa adabu pale siyo ukumbi wa kamati kuu kuwa mnaenda kumzomea yeriko nyerr
Hakuna sababu ya kushindanisha taharuki ndani ya nchi kisa legacy ya mtu mmoja kisa apate hela ya kutunza family yake huko ubelgijHivi usikute wewe na mabosi wako hapo mlipo hata hamfahamu maana halisi ya neno UHAINI! Ila kwa sababu mmeona itawasaidia kumzuia Mwamba kuwanyoosha kupitia mikutano yake ya hadhara; mkaona njia pekee ni hii ya kumtengenezea uhaini wa mchongo kama njia pekee ya kumzuia na kumkomesha. Hovyo kabisa.
Nimesoma na kurudia mara nyingi sijakuelewa imefika hatua nimeacha!.Mahakama si eneo la kupeleka mihemko yako ya kiuwanaharakati..
Ile siyo kesi ya wizi wa kuku, ile ni uhaini, kwa hyo wewe ukifanya maigizo yoyote yale, wenye majukumu yao kisheria wanayachukulia serious..
Mkienda mahakaman nendeni kwa adabu pale siyo ukumba kamati kuu kuwa mnaenda kumzomea yeriko nyerr
Hebu huyu mjuaji KERATO MOMBAA atupe maelezo ya hilo swali!.Kosa la jamaa aliepigwa mahakamani ni nini?
Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.
Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?.
Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote.
Nawasilisha kutoka katikati ya jiji la mzimuni.
Shida siyo hao watu mzee, shida ni NJAA baba, wanatetea ugari wao...Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.