Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
MamboMlioko huko hata picha jamani?
Yule nae hajielewi... Kwani Ayo online ina mahusiano gani na muajiri wake?
Kabisaaa...manake naona sasa anaanza kuyarudi ya kinyumenyume na kiupandeupande.Atakuwa ameshapiga KITWANGA mbili tatu
Sio kitwanga huyoUpdates: Mlevi mmoja anatolewa nje na mabaunsa hapa sijui kafanya nini.
Pouwa,Mambo
Hahahahh!!! huyo atakuwa kapiga kitwanga halafu akawa anamtaja Gadna.Updates: Mlevi mmoja anatolewa nje na mabaunsa hapa sijui kafanya nini.
Millard ayo wanamuonea tu kijana ni mfanyakazi wa clouds media hawezi fanya kinyume na matakwa ya mwajiri wake
Nimeiona,Mambo
Raia hawajui hicho sasaMillard ayo wanamuonea tu kijana ni mfanyakazi wa clouds media hawezi fanya kinyume na matakwa ya mwajiri wake
mambo naona moto my wife ananiforce tukacheze wimbo wa siri yangu afu ninaona aibu kinoma