NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Attachments

  • 1463780810298.jpg
    1463780810298.jpg
    49.6 KB · Views: 28
Updates: Mlevi mmoja anatolewa nje na mabaunsa hapa sijui kafanya nini.
 
Huko millard asipotumia kitwanga lager basi anaweza pata mshituko kama wa kabwe akajifia maana wamemvamiaaaaa vijana wa jide si mchezo
 
mambo naona moto my wife ananiforce tukacheze wimbo wa siri yangu afu ninaona aibu kinoma
 
Show mbona imepooza hivi utafikiri anaumwa tunataka mauno hayo...bwana angekuwa mama wa chura mpangekuwa hapatoshi.
 
Siku show ya hip hop bongo ikipata maudhurio ya wanawake wengi hivi tutafuta ile kauli ya madee
 
Back
Top Bottom