NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Wambea wenzangu huyo jamaa mweusi anayesakata Rhumba sio mume wa Director Joan kweli?
 
Alikiba yupo bongo nilimuona kwenye mapokezi ya wachezaji wa yanga alikuwa nao
Wewe jamaa ungekuwa wa kike ingebidi uolewe na Kiba tu.
Unamfuatilia sana aisee,usisikie katajwa ushajaa!
 
Wewe jamaa ungekuwa wa kike ingebidi uolewe na Kiba tu.
Unamfuatilia sana aisee,usisikie katajwa ushajaa!
Hamna bhana kwenye taarifa ya habari nilimuona akipiga picha na wachezaji wa yanga pale uwanja wa ndege ntake radhi nifah
 
huyo joan nimemjua baada ya msiba wa mheshimiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mbeaaaaa!
Nimekuvulia kofia!
Mbea mwenzio nishakuelewa.
Ila nae Si nasikia 'yumo'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…